jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,540
- 25,834
Kwani cargo nazo zimezuiliwa? Nilidhani ni raia peke yake?Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Kwani cargo nazo zimezuiliwa? Nilidhani ni raia peke yake?Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Mizigo bandari inaingia kama kawaida?Bwashee nyie mnavuka baada ya kukamilisha vipimo vyote!
Comrade kipindi hichi watoto walivyorudi nyumbani kaa nao mbali usijeukawaambukiza ujinga.Miradi ya CCM inatoa gawio kwa serikali .....usisahau hilo bwashee!
Mpaka unapofungwa,maana yake hakuna movement ya kuingia ama kutokaKwani cargo nazo zimezuiliwa? Nilidhani ni raia peke yake?
Kwahiyo bandarini mizigo haiingii?Mpaka unapofungwa,maana yake hakuna movement ya kuingia ama kutoka
Kama Kuna meli zilokuwa njiani,mzigo unaingia,semi zitapakia lakini Sasa unaweza kumaliza mwezi uko nyakanazi iwapo kweli mipaka imefungwaKwahiyo bandarini mizigo haiingii?
Hahahaaaa.........!Comrade kipindi hichi watoto walivyorudi nyumbani kaa nao mbali usijeukawaambukiza ujinga.
Comrade July mbali sana.Hahahaaaa.........!
Mwezi July ndio utaelewa vizuri..... Tuombe uzima bwashee!
Ina maana serikali nayo pia haina mizigo inayoingia? Copper ya Zambia haibebwi?Kama Kuna meli zilokuwa njiani,mzigo unaingia,semi zitapakia lakini Sasa unaweza kumaliza mwezi uko nyakanazi iwapo kweli mipaka imefungwa
Unadhani kwanini Mbowe kahamia Dodoma?Comrade July mbali sana.
Tunaongelea mpaka wa nchi zilizoko karantini,Kama Congo,rwandaIna maana serikali nayo pia haina mizigo inayoingia? Copper ya Zambia haibebwi?
inadhihirisha ni jinsi gani awamu ya 5 ilivyo passive in thinking.Tukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga
Upande wa kanda ya ziwa zilipo Uganda na Rwanda umejifunga
Upande wa magharibi zilipo DRC na Burundi umejifunga.
Na upande wa mashariki zilipo Zanzibar na Comoro umejifunga
Bado kusini ilipo Msumbiji na Nyanda za juu zilipo Zambia na Malawi.
Mpaka wa JNIA na KIA nayo itajifunga soon.
Hii ni baada ya nchi tunazopakana nazo kufunga mipaka yake kadhalika mashirika ya ndege huko Duniani kusimamisha safari.
Maendeleo hayana vyama!
Nilisikia taarifa hadi tar 28 mwezi huu itakuwa imejifunga kutokana na upungufu mkubwa wa wasafiriTatizo kubwa lipo ndani na JKIA.
Tukiendelea na huu mrundikano wa watu kila sehemu yatatukuta kama ya SA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lori unaloendesha halipati mizigo ya serikali?Tunaongelea mpaka wa nchi zilizoko karantini,Kama Congo,rwanda
Comrade unamaanisha Mbowe kajilaza kwenye majabali kama mjusi?Unadhani kwanini Mbowe kahamia Dodoma?
Dakika za lala salama hizi Mbowe anadaka kila fursa hakuna kikao anatuma mwakilishi!Comrade unamaanisha Mbowe kajilaza kwenye majabali kama mjusi?
Ya nini?!
Mali za CCM zina thamani ya zaidi ya Tsh 1 trilion
Mapato yake kwa mwaka ni kati ya sh 57bil hadi 60bil
Ruzuku ya kazi gani hapo bwashee?
Comrade unachanganya mahararage na mapera kwenye sufuria moja.Dakika za lala salama hizi Mbowe anadaka kila fursa hakuna kikao anatuma mwakilishi!
Sasa sisi madereva wa semi trailer tutaishije asee?!!
Vyote vinaliwa hivyo bwashee!Comrade unachanganya mahararage na mapera kwenye sufuria moja.