Jambo jema: Mipaka ya Tanzania bara inajifunga yenyewe kutunusuru na Corona

Kama Kuna meli zilokuwa njiani,mzigo unaingia,semi zitapakia lakini Sasa unaweza kumaliza mwezi uko nyakanazi iwapo kweli mipaka imefungwa
Ina maana serikali nayo pia haina mizigo inayoingia? Copper ya Zambia haibebwi?
 
inadhihirisha ni jinsi gani awamu ya 5 ilivyo passive in thinking.

yote hii ni kutokana na watu kama Bashite & Musiba kuwa ndiyo think-tanks wa serekali ya awamu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…