Jambo jema: Mipaka ya Tanzania bara inajifunga yenyewe kutunusuru na Corona

safi mkuu, unanikumbusha sisi kina baba kwamba kina mama wakipima negative wakati wa kujifungua basi automatically na sisi ni negative. .
 
Hill sakata la corona likiendekea kwa miezi miwili tutaprove Yale majigambo ya pesa ipo na nchi inaakiba ya kutosha miezi mitano etc. Naona wafanyakazi wa umma wakikopwa mshahara very soon
 
 

Attachments

  • Screenshot_2020-03-25-14-45-23-548_com.flightradar24free.jpg
    122.5 KB · Views: 16
Afadhali umewaambia ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…