Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Uovu na dhambi ni nini? Kucheza mpira wa miguu ni dhambi au ni uovu?Uovu na dhambi
hayo ni maneno mazito sanaUovu na dhambi
Kwakua umemtaja Mwenye Enzi Mungu, basi yeye ametuelekeza nini cha kufanya na kipi cha kuacha kufanya.Uovu na dhambi ni nini? Kucheza mpira wa miguu ni dhambi au ni uovu?
Ahahah. Na kweli maana mpira wa miguu mi full kudanganyana. Unajifanya unaenda huku kumbe unapita kule mwenzako anaanguka chini. Unamdangajya kipa kupiga kulia kumbe unapeleka kushoto ๐.Uovu na dhambi ni nini? Kucheza mpira wa miguu ni dhambi au ni uovu?
Mbona kama unajadili mada nyingine yaani unatutoa kwenye reli sisi tunaofuatilia huu mjadala.Kwakua umemtaja Mwenye Enzi Mungu, basi yeye ametuelekeza nini cha kufanya na kipi cha kuacha kufanya.
Waislamu wanasema uchi wa mwanaume unaanzia kwenye kitovu mpaka magoti lakini wamejazana kwenye mpira na wanaovaa hadi matangazo ya betting na pombe๐Uovu na dhambi ni nini? Kucheza mpira wa miguu ni dhambi au ni uovu?
Mara unapiga mtu tobo, mara unamvisha kanzu. Na ni sawa tu hata ukifunga goli kwa kende ๐Ahahah. Na kweli maana mpira wa miguu mi full kudanganyana. Unajifanya unaenda huku kumbe unapita kule mwenzako anaanguka chini. Unamdangajya kipa kupiga kulia kumbe unapeleka kushoto ๐.
Full uongo uongo yani
Yan udhalilishaji wa hiyariMara unapiga mtu tobo, mara unamvisha kanzu. Na ni sawa tu hata ukifunga goli kwa kende ๐
Na ukiwa mtu wa kuuliza maswali kama haya utaambiwa usimkufuru mungu na usipendelee kuichunguza akili yake.Yan udhalilishaji wa hiyari
Soma swali, hilo ni jibuMbona kama unajadili mada nyingine yaani unatutoa kwenye reli sisi tunaofuatilia huu mjadala.
Hahhhhhh indeed...Ahahah. Na kweli maana mpira wa miguu mi full kudanganyana. Unajifanya unaenda huku kumbe unapita kule mwenzako anaanguka chini. Unamdangajya kipa kupiga kulia kumbe unapeleka kushoto
Full uongo uongo yani