Wana JF nani mwenye kale ka-clip kanamuonesha huyu msomali kinana akimpokea mfalme wa Dubai Kia na kisha kanamuonesha huyu mpumbavu akimuonesha huyo mfalme eneo la milki yake huko ngorongoro waliomuuzia hivi karibuni! Naomba akaweke kwenye uzi huu itapendeza sana watu wajue alivyo shetani na nusu !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.