Jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nafanya tendo la ndoa na mke wangu

Jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nafanya tendo la ndoa na mke wangu

duh pole sana inabidi uende hospital
 
Nadhani tuwape pole wale wanawake ambao kiukweli hawakumbuki lini walipata proper sex ndani ya ndoa.

Hili ni tatizo kubwa sana, upo na mtu lakini he/she can't satisfy you, unaishia kujichua au kutafuta mtu wa kupunguza ashki.
Yeah ni kweli, ila nadhani pole inahitajika kwa wote pia, embu ona mwanaume anavyoishi kwa tabu namna hiyo hivyo hivyo mwanamke naye anakuwa na mawazo haelewi ni kitu gani kinafanyika anatamani kufika mwanaume hana uwezo wa kumfikisha aiseeh haya mambo ni magumu sana kiukweli.
 
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam.

Mimi nimeoa na nimejaaliwa kupata watoto watatu, watoto wawili mimezaa na wanawake wawili tofauti na huyu mtoto wa tatu nimezaa na mwanamke ambae nimefunga nae ndoa na ndo ninae ishi nae.

Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa nguvu za kiume ambalo nimekuwa nalo kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha tatizo langu nadhani ni kujichua kwa muda mrefu kwani nilianza kujichua mwaka 1992 wakati huo nikiwa na umri wa miaka 17 na tangu nianze kujichua mwaka huo wa 92 sijawahi kuacha kujichua hadi leo hii.

Mchezo huu wa kujichua umenisababishia madhara makubwa sana ; kwanza maumbile yangu ya kiume yamelegea, yamesinyaa na kunywea ndani na ninapokuwa nimesimama basi yanakuwa yamelegea kweli kweli.

Pili nisipotumia madawa ya kizungu huwa nafika kileleni ndani ya muda mfupi sana, nikizidi sana ni dakika moja .

Tatu nakuwa sina uwezo wa kurudia tendo . Nikishamaliza ndio imetoka hiyo mpaka kesho yake.

Katika kukabiliana na tatizo langu hili nimekuwa nikitumia madawa ya kizungu na kusema ukweli yameniathiri kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kunifanya niwe tegemezi, yaani bila hayo madawa ya kizungu siwezi kabisa kufanya tendo la ndoa.

TUKIO LILILO TOKEA USIKU WA JANA

Sababu ya kuandika barua pepe hii ni kukuelezea jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nikifanya tendo la ndoa na mke wangu.

Tukio lililo nitokea jana si mara ya kwanza kunitokea lakini kwa mke wangu huyu ndio limenitokea kwa mara ya kwanza but kwa wanawake wengine ambao nimewahi kutembea nao, limeshanitokea mara nyingi tu kiasi siwezi kuhesabu.

Halijawahi kutokea kwa mke wangu kwa sababu kwa muda wa miaka mitatu ambayo nimekuwa na mwanamke huyu nimekuwa makini sana wakati wa kufanya “ maandalizi “ kabla ya kushiriki tendo la ndoa na mke wangu. Nimekuwa nikihakikisha nnatumia dawa za kizungu za kuongeza nguvu kabla ya kukutana kimwili na mke wangu huyu. Ingawa uume wangu unakuwa umesimama ukiwa lege lege lakini at least sijawahi kushindwa kabisa kushiriki na mke wangu.

Nilikuwa nimeenda safari mkoani ambako nilikaa kwa muda wa wiki moja na usiku wa jana ndio nikawa nimerudi safari.

Kwa bahati mbaya sana nikawa nimesahau kubeba dawa zangu za nguvu za kiume na kwa bahati mbaya zaidi nakuja kukumbuka tayari nimeshafika home na ilikuwa usiku tayari.

Wakati tunafanya tendo la ndoa nilijikongoja nikafanikiwa kumaliza round ya kwanza japo nilitumia muda mfupi sana nadhani kama dakika moja hivi.

KIMBEMBE KILIANZA KWENYE KUTAFUTA ROUND YA PILI

Baada ya kumaliza round ya kwanza nilipata maumivu makali sana kwenye mishipa yangu ya uume na sikuwa na hamu kabisa ya kurudia round ya pili . Hata hivyo nilifanikiwa kujikongoja kongoja hivyo, baada ya kama masaa mawili hivi jogoo akafanikiwa kupanda mtungi tena. Na hii ilikuja baada ya kutomasa sana na kuvuta hisia sana na wakati nafanya yote hayo nafanya bila wife kushtukia kwamba ninajitomasa ili jogoo apande mtungi. Huwa natakaga wife awe anajua jogoo wangu anapanda mtungi bila kuchezewa. So nilikuwa nampigisha story wife huku tunatazama kipindi kwenye tv and at the same time nikawa najitomasa.

Sasa basi baada ya kuridhisha kuwa jogoo amepanda mtungi nikaanza sasa maandalizi ya ku-do wife, ila ile najaribu tu ku anza ku-do , jogoo akawa amenywea tena, na jogoo alinywea kwa sababu nilipo mwambia wife tuanze ku-do tena, wife akasema anaenda maliwatoni kwanza, kitendo cha wife kwenda maliwatoni tu jogoo wangu akanywea tena. Nikasema ngoja nijaribu kujichezea tena fasta fasta kwa muda ule ambao wife atakuwa ameenda chooni ili atakapo rudi akute jogoo yupo vizuri, lakini wapi wakati najaribu kuanza kujitomasa tena, wife akawa amesha rejea tena, so ikabidi namimi nizuge nimebanwa na haja kubwa na kumwambia wife naenda toilet mara moja.

Kufika toilet nikaanza kutomasa jogoo wangu mithili ya mtu anae taka kupiga punyeto, lakini wapi. Jogoo akawa anasimama kidogo ananywea, anasimama kidogo ananywea, nikaona hapa mwishowe wife atanistukia au kuhihisi vibaya coz zilikuwa zinakaribia zaidi ya dakika tano hivi kwa kukadiria.

So nikaamua kurudi tu chumbani . Kufika chumbani nikamkuta wife amekaa kitandani. Bahati nzuri nikiwa nafika, movie moja ya kibongo ikawa ndo inaanza kuonyeshwa kwenye kituo kimoja cha movie za kibongo na inaonekana alikuwa anaisubiri kwa hamu. So akawa kama attention yake ameihamishia kwenye movie na hiyo ndo ikawa pona pona yangu kwa muda huo.

So na mimi nikazuga kuvutiwa na ile movie , attention yetu sote tukawa tumeihamishia kwenye movie.

Nashukuru Mungu ile movie ilionekana kuwa so interested kwake yeye. Nilipo ona yupo so interested nikazuga kumwambia “ Ngoja nikuache umalize kwanza hiyo movie ndo tuendelee” kumbe moyoni mwangu nasema “ Asante Mungu kwa kunifichia hii aibu “.

So muda huo tulio kuwa tunautumia kutazama movie nikasema niutumie kutomasa jogoo hadi asimame.

Baada ya kama nusu saa hivi, bahati nzuri jogoo akawa amewika, nikamwambia wife nataka kwenda kulala, tumalizie game haraka haraka. Bahati nzuri nikafanikiwa kucheza game na kumaliza japo nilitumia muda mfupi sana lakini ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni heri nionekane nawahi kufika kileleni mapema kuliko nionekane sina uwezo wa kupandisha jogoo kabisa .

Nimeamka asubuhi nimetengeza safari ya kijijini Kisarawe ambako nitakaa kwa muda wa mwezi mmoja.

Ninataka katika kipindi chote hicho cha mwezi mmoja niutumie kutibu tatizo nililo nalo na kupona kabisa ili nitakapo rudi kwa mke wangu niwe na confidence ya kushiriki nae tendo la ndoa.

Pia naogopa aibu iliyo taka kunitokea usiku wa jana isije kunitokea tena kwa sababu jambo hilo liliniogopesha sana na sitaki mke wangu anione mimi ni mwanaume wa hivyo ingawa sijui ananichukuliaje mpaka sasa.

IDADI KUBWA YA WANAUME WALIO KATIKA NDOA AMBAO WANAKABILIWA NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, WANASHINDWA KUPATA TIBA YA TATIZO LINALO WAKABILI KWA SABABU YA KUTOKUWASHIRIKISHA WAKE ZAO. WANAUME WANAO WASHIRIKISHA WAKE ZAO HUPATA NAFUU YA HARAKA SANA KWA SABABU MKE NAE ANAKUWA ANAJUA TATIZO LINALO MSUMBUA MUME WAKE NA ANAWEZA KUSHIRIKI KATIKA KUMUANDALIA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE SHIDA YA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Chanzo: Mpekuzi

MADHARA YA UPIGAJI PUNYETO KWA MWANAUME, NAMNA YA KUEPUKA NA TIBA

Watu wengi sana wanataka kufahamu jinsi gani wafanye ili kuachana na kitendo cha upigaji punyeto.

Punyeto ni tendo la mtu la kuamsha hisia za mapenzi au msisimko ambao unampelekea mtu huyu kufikia kilele cha kujimalizia tamaa zake! Bila kufanya tendo halisi, hutumia fikra zake katika picha za zinazoitwa za ngono au picha zozote zinazoweza kulifanikisha tendo hilo, movie n.k. Kilele cha yote anafikia mahali anajimalzia tamaa zake mwenyewe!. Nimekuwa nikiona baadhi ya watu wanaosema wameelimika wakipingana wao kwa wao katika suala zima la kupiga punyeto! Wako wanaotetea kutokana na elimu yao na wanasema kwa ujasiri mkubwa kwamba “kupiga punyeto ni sehemu ya maisha ya mwanadamu” Ina maana katika maisha ya mwanadamu upigaji punyeto inaelezwa ni kama tendo la lazima mpaka inafikia mahali wanasema ni sehemu ya maisha (Maisha) ya mwanadamu.

Nimekuwa nikipata kesi nyingi sana juu ya madhara yatokanayo na punyeto. Aslimia 60 ya vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 30 wameathirika na tatzo hili (chronic masturbation) na inakuwa ngumu kujinasua kutoka kwenye hili janga, kama wewe ni mmoja wapo na ulkuwa ukitafuta kwa mda mrefu ufanye nini ili uachane na tabia ya kupiga punyeto basi fatilia kwa makini makala hii.

Haya ndio baadhi ya madhara ya kimwili ambayo yanaletekezwa na upigaji punyeto
1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:

Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umelegea.

2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya tendo la ndoa na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kufanya tendo hilo.

Athari nyingine ni kama zifuatazo

3.Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.

4.Maumivu ya nyonga / Lower back pain.

5.Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss

6.Maumivu ya kende

7.Maumivu ya kiuno

Hayo ni baadhi ya nukuu zangu!

Kuna faida nyingi sana ambazo utazipata endapo utaachana na tabia ya upigaji punyeto na hiyo napenda iwe sababu ya wewe msomaji kuachana hicho kitendo.

Kuacha punyeto ama mtindo flani wa maisha inahitaji utambuzi, uamue na pia uweze kjicontrol wewe mwenyewe, inahitaji nguvu ya ndani yako kushinda vishawishi , zifuatazo ni njia ambazo utaanza kutekeleza ukiwa nyumbani kwako bila gharama yoyote na zitaanza kukupa matunda, lazima uwe mwaminifu kufuata kile ninachoelekeza maaana ni njia ambayo imewasaidia vijana wengi.

1.PATA MDA MWINGI WA KUPUMZIKA

Baada ya shuguli za kawaida haikisha unapata mda wa kupumzika, lala mapema ili uweze kuipa akili mda wa kuchambua na kutunza taarifa za muhimu na kufuta zile ziszo za muhimu. Hakikisha unalala mapema hapo ndipo utaongeza uwezo wa akili kuweza kupambana na hisia na mawazo mabaya.

2. MATUMIZI YA MBOGAMBOGA NA MATUNDA KWA WINGI

Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba matumizi mazuri ya vyakula vya mbogamboga na matunda Husaidia kuongeza uwezo binafsi wa kujisimamia juu ya tamaa na mihemko mbalimbali, matumizi ya vyakula vilivyosindikwa (junk foods) ni chanzo cha kushindwa kujizuia na hapo safari yako ya kuachana na upigaji punyeto itakwama.

3. FANYA MAZOEZI NA USHUGULISHE MWILI

Maozezi yanasaidia mwili kutofikiria kufanya mambo machafu sababu mara nyingi unakuwa bize, akili inapokuwa inashugulishwa basi uwezekano wa kuleta fikra mbaya ni mdogo sana

4. ACHA KUANGALIA PICHA ZA NGONO

Tafiti zinasema kwamba vijana wengi wenye umri kuanzia miaka 15 mpaka 30 ndo kundi kubwa lililoathirika kwa kutazama picha za pono, piacha au video za ngono huleta msukumo kwenye akili ili kuweza kujiridhisha na hivo hupelekea watu kupiga punyeto ili kukata ile kiu ya tamaa zao za mwili.

UKIHITAJI DAWA
DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZAKO ZA KIUME KWA JINA NI VILIRITY GOLD PILLS AKA (V-PILLS GOLD)CHUPA 3 UKIHITAJI WASILIANA NA MIMI KWA.Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber
+905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

V-PILLS.jpg

 
Kula vizur, fanya mazoez, ata utie nyeto kwa siku mala 4.. kama mwil upo fresh gem inapigika kama kawa... acha kula chipx, mala mishkak na ndiz.. hivyo vyakula mwachie mkeo..

Syncerus cafer cafer
 
hivi huwa mnapiga puli hadi umri huo mbona wanawake tumejazana au ndo raha ya kujibikiri kila siku
 
Nadhani tuwape pole wale wanawake ambao kiukweli hawakumbuki lini walipata proper sex ndani ya ndoa.

Hili ni tatizo kubwa sana, upo na mtu lakini he/she can't satisfy you, unaishia kujichua au kutafuta mtu wa kupunguza ashki.
Mkuu mbn kama unanisema mimi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah ni kweli, ila nadhani pole inahitajika kwa wote pia, embu ona mwanaume anavyoishi kwa tabu namna hiyo hivyo hivyo mwanamke naye anakuwa na mawazo haelewi ni kitu gani kinafanyika anatamani kufika mwanaume hana uwezo wa kumfikisha aiseeh haya mambo ni magumu sana kiukweli.
Very sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa CHAPUTA atakuja kupinga tuhuma hizi.

Maana wanamsemaji kabisa kule kwenye chama chao
Mleta Mada mbona unazalilisha saana chama cha CHAPUTA???
Umri42 ukute mkeo nae analala tu kama gogo.hatikisi hata masikio
Mamods mgeruhusu kdg vipengele vya matusi watu tukate kiu Zetu

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Pole sana, lakini kwa taarifa yako, mkeo mbona anajua vizuri sana tatizo lako!
 
Back
Top Bottom