Ni siri tu...Vunja bei amekwama Ethiopia?
Mkataba umeishaVunja bei amekwama Ethiopia?
SureHata akipewa tenda jiesiemu sio swala kwetu, what we need is unique n very quality jersey.
Duu kibabe hatari wacha waendelee kusubiriKlabu inapenda kuutangazia umma kuwa, tenda ya Jezi za Simba SC kwa msimu wa 2023/2024 inakwenda kwa...
SANDALAND THE ONLY ONE
Na hadi muda huu, Jezi zipo tayari zinasubiri kipenga ila tuanze kuuza.
Ila kwa ustaarabu zaidi, siwezi weka picha ya Jezi husika kwa sasa, kwa sababu itaharibu biashara yangu pia.
Kama unasubiri taarifa ya saa 18:30 endelea kusubiri tu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Relax, soma commentsWewe ni sandaland wa msimbazi?
Walau hata zifanane na za Utopolo.Hata akipewa tenda jiesiemu sio swala kwetu, what we need is unique n very quality jersey.
Ukweli usemwe. Jezi ya utopolo ya michuano ya CAF ilinitoa udenda asee, sema ndo vile siwezi vaa jezi zao abadan!Walau hata zifanane na za Utopolo.
Jezi zetu huwa ni mbaya sana.
Shabiki mara nyingi huwa ana mambo ya kifalafala tofauti na mwanachama.Yanga ndiyo timu ya wananchi wenye akili
Si tumekubaliana kuwa Yanga ina hazina kubwa ya wapumbavuYanga ndiyo timu ya wananchi wenye akili
NaaamHata akipewa tenda jiesiemu sio swala kwetu, what we need is unique n very quality jersey.