Jambo la Simba hili hapa, usisubiri saa 18:30

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,668
Reaction score
2,908
Klabu inapenda kuutangazia umma kuwa, tenda ya Jezi za Simba SC kwa msimu wa 2023/2024 inakwenda kwa...

SANDALAND THE ONLY ONE

Na hadi muda huu, Jezi zipo tayari zinasubiri kipenga ila tuanze kuuza.

Ila kwa ustaarabu zaidi, siwezi weka picha ya Jezi husika kwa sasa, kwa sababu itaharibu biashara yangu pia.

Kama unasubiri taarifa ya saa 18:30 endelea kusubiri tu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Duu kibabe hatari wacha waendelee kusubiri
 
Back
Top Bottom