Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

Ficha ujinga Wako mpumbavu wewe! Mwambieni hii ni nchi sio shamba la babu yake
 
Acheni kupotosha watu, naamini mama anafanya kazi kwa utashi wake asilimia nyingi na kama anapata usaidizi ni kidogo sana kitu ambacho ni sahihi. Hakuna ubaya kwenda kuuliza au kujifunza kwa mtangulizi wako.

Mh. Makamba naye ni mtanzania wala hana sababu za kutopewa uwaziri, na kama swala ni mikataba hilo siyo la kulaumu mtu mmoja ni swala la mfumo tu.
Kama kweli hamuyataki yote hayo rekebisheni mfumo kwanza badae kila kitu kitaenda sawaa. Sababu kila kitu nchi hii ni siri ya utawala. Hivyo hata apewe nani bado atafanya maamuzi kadri ya utashi wake.

Rekebisheni katiba ya nchi, mfumo wa kuendesha nchi uwe wazi kwa kila mtu, Mihimiri iwe na uwezo wa kuwajibishana. Bila kufanya hivyo hakuna mtu atataka kuondoka bila uhakika wa maisha yake. Nani hataki maisha mazuri?, nani anaweza sahau ndugu na marafiki zake?,

Mambo ni mengi kwa kweli, Hivyo acha mzee wetu JK ale mema yake, wewe ni nani hadi utoe view ya uongoz mmoja peke yake. Mie naamini kila mtu anajua ni uongozi upi anaouchukia na haukuwa na faida kwake.
 
Sawa RAS wa Dar tumekusikia tutalifikisha uongozi wa juu kwa maamuzi
 
Jk kila furushi la mavi anatupiwa yeye ajabu wakati wake karibu watu wote walikua na furaha ukiachana na maudhi ya kibinadamu...Polepole punguza gubu
Huenda ndie?maana kama kuna za jikoni jikoni hivi si kwa uchambuzi huu mwe
 
Mhhh sawa Wacha wale Mkuu kwani kuna tatizo? Maana hata wasipokula bado hizo keki kutufikia sisi wengine ni ngumu. Hivyo ni bora wale tu. Cha kujivunia mwisho wa siku wote ni....... kulamba Mchanga..... hapo Mungu Ashukuriwe Daima na Milele. Amina
Kwa kweli mkuu
 
Duh,Kila kitu JK,Hebu muacheni rais wetu mstaafu apumzike.Kweli nimeamini uongozi ni kalala.Hebu tuwe na staha na viongozi wetu,
Mkuu Moremi ni typing errors au umemaanisha nini uongozi ni kalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
niliuliza hapa siku moja kama huyu jk alishawahi kukataa mimba za watu wakati wa ujana wake ili tujue kinachoendelea na tunyamaze maana si kwa chuki hizo dhidi yake, sijajibiwa mpaka leo. Ajabu ni kuwa jamaa anaendelea kujaa tabasamu tu huku wamchukiao na kumchafua na kumzushia, kwa matumaini ya kumuathiri, ndiyo kwanza wanazidi kuchakaa wao na kumalizika.

Saikolojia ya jamaa iko vema sana.....kama mlishindwa kummaliza kipindi mlichokuwa na mfadhili na mlinzi kabisa wa kuwalipa na kuwalinda kina musiba ili mumchafue jk na kummaliza; mtaweza sasa hv ambapo hakuna anayepoteza nguvu na fedha kwa ajili ya mambo hayo?!!!
 
Ndugu huu upupu ulioandika fanya utafiti vizuri,safari za nje za jakaya,zipo kwa mujibu wa sheria na ni ile idadi tu iliyoandikwa,zingine ni kwa juhudi zake tu,hazilipiwi na serikali,mpe muda makamba utaona matunda yake na utakuha hapa kukiri mwenyewe,the guy is so intelligent

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Dikteta alikuwa kubwa la mafisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…