Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

Mhhh sawa Wacha wale Mkuu kwani kuna tatizo? Maana hata wasipokula bado hizo keki kutufikia sisi wengine ni ngumu. Hivyo ni bora wale tu. Cha kujivunia mwisho wa siku wote ni....... kulamba Mchanga..... hapo Mungu Ashukuriwe Daima na Milele. Amina
[emoji122][emoji122]
 
Mkuu mbona mtaani tunasikia Mkapa(RIP) ndo alimpigania.

Anampiganiaje wakati ilikuwa awamu ya nne na Rais alikuwa JK.....tanzania mwenye mamlaka na teuzi za mawaziri + teuzi nyingine ni Rais aliyepo madarakani....JK angeamua kummaliza JPM akiwa waziri angemmaliza tu na hakuna ambaye angezuia, kama aliweza kummaliza EL na akaukosa Urais angeshindwaje kwa JPM....kifupi ni watu wanachuki sana na JK baada ya kumezeshwe sumu...
 
Huyu mwanamke hayana ujasiri wa kufanya haya yote,isitoshe ni team moja na kikwete
 
Nchi ngumu hii
 
nyie wasukuma hebu muacheni mzee wa watu apumzike, kikwete amewakosea nini?? kwani nani amewaambia anasafiri kwa kodi zenu?? mzee yupo kwenye bodi nyingi duniani na haendi huko kwa shughuli za nchi anaenda kwa mambo yake binafsi napp mnaona wivu, mnafikiri ameanza kusafiri baada ya kuupata urais?? acheni ushamba wenu kama nchi mlishindwa kuomgoza ni kwa uarrogant wenu, msisingizie watu, kwanza unahusianisha vitu visivyoeleweka kuwa dubai kwa kikwete na wamiliki wa dowans vinahusian nn
 
Alikua anamuogopa sana. Mtu kama aliwahi kua boss wako hata kama akiachia ngazi. Bado utakuona kama boss tu. Afu kumbuka jamaa kwa wakati huo alikua kastaafu lakini bado kaacha watu wake wengi ndani ya serikali ambao walikua bado wanamtii/ loyality. So nafikiri kitu kama hicho pia kilimwogopesha mwendazake
 
Kikwete alikuwa Rais mmoja wa hovyo sana kuwahi kutokea hapa Tanzania, huyu kwa wenzetu ilibidi akamatwe na kunyongwa kutokana na matukio ya kishenzi aliyoyafanya hapa nchini. Amelitia hili taifa hasara kubwa mno.
 
Matunda yake kwamba umeme tutakua tunanunua unit 1/2Tsh.Au ni matunda gani wamaanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…