Jambo lililomtesa Hayati Dkt. Magufuli ni mkataba wa Dowans na Symbion ambao Mzee Kikwete alisaini wakati wake

Umekunywa chai lakini?
 
Achane story za vijiweni
 
Mkuu pitia hapo

 
Huyi JK sijui kawafanya nini...

Hapo kwenye Dowans na Symbion umepuyanga kabisa...
 
Kikwete ni raisi wa awamu ya 6. Kila kitu kitarudi kama wakati wake.
 
Nonesense!

Trillion 40 unazijua au unazisikia? , Hayo ndiyo kama yale mambo ya kudanganyana eti ACACIA wametuibia madini yenye thamani y shilingi trillion 425 zinazotosha kumnunulia kila mTZ Noah mojamoja

Magufuli angekuwa shujaa asingefanya bishara ya kununua wapinzani ili kupunguza nguvu za kupinga udikteta wake
 
Hivu Ni kweli kikwete Ni mbaya kiasi hiki?? Kama Ni kweli kikwete na washikaji zake Ni wabaya na wezi kiasi hiki..kwanini wasituhurumie..?
Mimi naona Majungu tu inakuwaje Kikwete atamani madili madogo Sasa na ili hali alipokuwa rais alikuwa na connections zote???
Na je Kwani Kikwete anautaka urais Tena au vipi?
Kwamba Kikwete hasa hisa na vitita vya pesa nje ya nchi mpk ajihusishe na ishu za kijinga jinga Kama Mataga wanavyodai???

Mataga kuweni na adabu mnatia aibu na nyuzi zenu za kipumbavu Kuhusu Kikwete.!!

Mimi ningekuwa Sniper nyie Mataga mngekuwa risasi mmoja baada ya mwingine ...

Mnataturudisha nyuma na kutuchelewesha Watz Sana..mlaaniwe nyie na vizazi ..

Hizi Zama dunia na nchi ndogondogo zipo katika innovative war ...nyie bado miaka 60 mpo kutuhubiria habari za madawati ya mbao mashuleni ..mara maji ya kutimbua visima mnatia Hasira Sana waraibu wakubwa nyieee
 
siku moja tutakuja kumwomba msamaha huyo mzee ktk kaburi lake.

kama taifa tumepoteza kete muhimu sana.

huyu jk awezakuwa hakuwa chanzo cha mipango miovu,ila akawa dhaifu kiasi cha kutumika na waovu kama ngao wakitekeleza uovu wao.
 

lissu for presidence 2020[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
siku moja tutakuja kumwomba msamaha huyo mzee ktk kaburi lake.

kama taifa tumepoteza kete muhimu sana.

huyu jk awezakuwa hakuwa chanzo cha mipango miovu,ila akawa dhaifu kiasi cha kutumika na waovu kama ngao wakitekeleza uovu wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jk kila furushi la mavi anatupiwa yeye ajabu wakati wake karibu watu wote walikua na furaha ukiachana na maudhi ya kibinadamu...Polepole punguza gubu

furaha ilionekanaje kwa watu wote mkuu!!!
hata lissu tu bungeni alikuwa anamkasirikia.
 
Tanzania kuna viwanda vya uongo - by Jakaya Kikwete.

Come what may Watanzania hatujari, kuliko kutawaliwa na shetani mshamba kutoka chattle katili dhulma muuwaji ni bora ya hawa wezi wanaotuibia huku tukiishi kwa amani bila vitisho.

Haiwezekani mshamba mmoja kutoka chattle anadhurumu na kupora watu pesa na kulijaza Taifa zima hofu kubwa na woga eti leo watu wenye akili tumuone huyo ndio mtu bora, never, huko alipo afe mara ya pili.
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…