Mama kapata kazi zambia au kapata bwana kwa nini akulete mtoto she wants to be free to go to someone, ili mtoto asiwekikwazo katika uhusiano wake mpya. Kwa hiyo kumchukua mtoto maana yake wewe unahatarisha ndoa yako, yes wewe ni kichwa cha familia lakini hutakuwa na mtoto muda wote. Ndoa nyingi sinamatatizo kwa sababu ya umama/ubaba wa kambo.
Mwambie mzazi mwenzio kuwa swala la kulea mtoto ni jukumu lenu wote wawili. na utamlea mtoto akiwa mikono mwake hata enendenaye zambia si amepata kazi kwa nini mnambembeleza, but not to take the kid to your house it will be very unfair.