Ila hayupo tayari kumlea huyo mwanao aliyemzaa kwa kupanga....baba mzazi akae kimya?ni hivi mtoto wangi ningemlea mwenyewe bab yake angeleta matunzo tu.....na huyu mtoto sio wa bahati mbaya walipanga yakapangika, bac na mama ackwepe jukumu la kumlea mwanae akisaidiana na mzazi mwenzie.
Ila hayupo tayari kumlea huyo mwanao aliyemzaa kwa kupanga....baba mzazi akae kimya?
mbona baba wa watu hajakaa kimya?...kashasema atamtunza kwa kila kitu....bado tutarudi kulekule, anatakiwa amlee mwanae coz kama alipanga alitegemea nani aje amlele?
..Uporoto1 nadhani sijaelewa vizuri mkasa wako..kwani mkeo ulimfahamisha kuwa EX wako anataka umpe mimba ili akambambikie huyo husband wake?? Pili kwa kuwa wewe ni biological father wa huyo mtoto kiukweli unawajibika 100% kumtunza huyo mtoto kwani uzinzi wako ndio umetoa huyo mtoto. Sio fair kabisa huyo malaika wa mungu mkawa mnapiga danadana hivyo wewe na huyo hawala yako nina imani ni dhambi sana. Kama ulilikoroga then you are obliged kulinywa kijana...Na hiyo yako sijui kama ni ndoa au komedi:confused2::confused2:Mimi niko tayari kumtunza mtoto lakini niko kwenye wakati mgumu ukizingatia maelewano yetu kabla na wife kukubali kumsapoti mtoto kwa mama yake na sio kubwagiwa na bibie kukimbilia Zambia.
..Uporoto1 nadhani sijaelewa vizuri mkasa wako..kwani mkeo ulimfahamisha kuwa EX wako anataka umpe mimba ili akambambikie huyo husband wake?? Pili kwa kuwa wewe ni biological father wa huyo mtoto kiukweli unawajibika 100% kumtunza huyo mtoto kwani uzinzi wako ndio umetoa huyo mtoto. Sio fair kabisa huyo malaika wa mungu mkawa mnapiga danadana hivyo wewe na huyo hawala yako nina imani ni dhambi sana. Kama ulilikoroga then you are obliged kulinywa kijana...Na hiyo yako sijui kama ni ndoa au komedi:confused2::confused2:
Mimi niko tayari kumtunza mtoto lakini niko kwenye wakati mgumu ukizingatia maelewano yetu kabla na wife kukubali kumsapoti mtoto kwa mama yake na sio kubwagiwa na bibie kukimbilia Zambia.