Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
kaka Maane, huyo mfanyakazi anapagiwa na nyumba ya kuishi yeye na mtoto au?..na kama ni hivyo n bora uporoto amshauri huyo hawara yake hilo jambo na wakaishi pa1 zambia.
Mkuu Nyamayao, ni vema mtoto aishi hapo hapo nyumbani ili azoee pia ndugu zake. Huyo mama ambaye anajidai kuwa hataki mtoto huyu kisa ni mgonjwa si mama huyo, anajuaje kama siku moja mtoto wake hatapata ugonjwa tena apooze na ammalize kabisa muda wake?? Acheni kuongea tu maana hasira ya Mungu ni mbaya!! Imagine ghafla mtoto wake degedege hilo au gonjwa lingine, na anapooza au kuwa taahira, je atampeleka kwa bibi au?
Pili, uporoto1 hapaswi kwenda Zambia maana tayari ameoa/ana ndoa na huyu mama ambaye anakwepa majukumu ya mtoto wa kufikia (sitaki kumuita haramu). Kwenda Zambia maana yake ni awe na talaka au? Kitu ambacho not in my favour!