Umeona ee,itapendeza zaidiRais wetu awe Deogratius Kisandu
We jinsia gani?Umeona ee,itapendeza zaidi
Usiwe unatumia neno "Umeona eeeh" kama wewe ni mwanaume, hayo maneno ya Wema na Kajala mkuu.Mkuu vp tena?
Au....
Mjume ni mtu gani au ni cheo cha Kinyakyusa?Mimi ntakuwa mjume wa nyumba kumi
Labda kwa sababu huku ni Id fake na kule ingekuwa kuonana liveMkuu hamna,ni hali ya kurekebishana tu hutokea.
General galadudu yupo.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]watu wa usalama mna mbinu nyingi kweli..na hamnipati ng'oo