Jambo ninalotamani kwa wana JF, ila haliwezekani

Jambo ninalotamani kwa wana JF, ila haliwezekani

mwahaja

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
391
Reaction score
105
Huwa natamani sana watu wa jf tuanzishe jamhuri yetu tuishi huko.
Naiona ikiwa ni sehemu yenye Upendo, ushirikiano,burudani na kusaidiana sana sana.

[HASHTAG]#jamhuri[/HASHTAG] ya watu wa jf
 
Kwa povu ambalo baadhi ya watu huwa wanatoleana jf, kwenye hiyo jamhuri ingekuwa ni kung'oana meno, kutoana ngeu ,ni zaidi ya kibiti, ila sio kwa wote
 
Kwa povu ambalo baadhi ya watu huwa wanatoleana jf, kwenye hiyo jamhuri ingekuwa ni kung'oana meno, kutoana ngeu ,ni zaidi ya kibiti, ila sio kwa wote
Mkuu hamna,ni hali ya kurekebishana tu hutokea.

General galadudu yupo.
 
watu wa usalama mna mbinu nyingi kweli..na hamnipati ng'oo
 
Back
Top Bottom