Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
JAMBO NISILOWEZA KULISAHAU KAMWE MWAKA 2024
Siku Moja katika kutekeleza majukumu yangu Kuna ndugu Fulani walikuja Kwa lengo la kuhifadhi mwili WA mpendwa wao majira ya saa Tano usiku
Story ya kifo Cha marehem ni kwamba alirudi kutoka kazini akiendesha gari lake vzr tuu baadae majira ya saa mbili usiku alianguka bafuni ghafla akawa amepoteza maisha
👉Waliomba pia wapate cheti chakifo sambamba na kufanyika Kwa uchunguzi JUU ya kifo chake Cha ghafla yaani Autopsy
Jambo Moja lilifanyika maiti ilichukuliwa ikafanyiwa vipimo vya awali kuthibitisha kifo na Kisha kupelekwa kuhifadhiwa kwenye chumba Cha maabara ya uchunguzi WA vifo yaani pathology laboratory
Hatukumpeleka mortuary kwasababu za kiuchunguzi na tukisha maliza uchunguzi na report ikatolewa basi angepelekwa mortuary
Basi alfajiri tuliamua kuandaa vifaa kwaajiri ya uchunguzi vikakamilika, tukaandaa meza ya kumlaza marehemu ili tumpasue kufanya uchunguzi kuangalia mishipa ya moyo kama AOTA kama ili pasuka au laa ili kujua kama alikufa Kwa shabulio la moyo au kitu kingine
Picha LINAANZA naingia katika chumba nilikomlaza marehemu nakuta marehehemu kasimama amenikodolea macho 🤸🤸🤸🤸🤸
Hali hii kitaalam inaitwaje? Je maiti inauwezo WA kuamka na kusimama?
Kuna hali inayoweza kuwatokea wafu ya kuinuka na KUTEMBEA inaitwa Lazarus Syndrome
Ni pale ambapo Mtu anapata mshituko au shambulio la moyo la ghafla anaanguka moyo unasimama kabisaaaa harafu baadae unashindwa kumalizia MCHAKATO WA kuzima Kisha unaanza kudunda na kufanya kazi upya
Story hii nitaimalizia nini kiliendelea Kwa huyu bwana ikiwa sambamba na kutoa ELIMU Pana JUU ya kilichomtokea huyu mwamba.
Hatima ya mtu ni ya Mungu tuu kama siku zako Bado kifo Cha kuletwa na ibirisi kitatoweka na Uhai utarejea Hata ukiwa mortuary