Jambo nisiloweza kulisahau kamwe mwaka 2024

Jambo nisiloweza kulisahau kamwe mwaka 2024

View attachment 3226421VITU VYA KUSHANGAZA NILIVYOKUTANA NAVYO MWAKA 2010 HOSPITALINI

Mimi ni mtu ambaye ninadadisi saana vitu sasa nilipangiwa kazi mkoa mmoja ambao sitautaja kwenye hospitali ya mkoa h

Nilipo fika nishangazwa na jambo Moja Ile hospitali kulikuwa na paka WENGI saaana pia kulikua na mti mmoja una bundi pia usiku walikua wanalia mmoja mmoja Hadi utulize kichwa ndio uwasik

Jambo Hilo lilinishangaza mno nikaanza kufuatilia Kwa ukaribu hao paka wanaishi wapi, wanakula nini, wanafugwa au wapo t

Baada ya siku kama nne nikagundua ene furani ndani ya hospital kulikua na mti mkubwa Huo mti ndio ulikua una bundi na Kila siku usiku majira ya saa Saba usiku paka walikua wakikutana pale WENGI sa

Sasa siku Moja ilikua J tatu nimeitwa wodi ya wanaume kulikua na mgonjwa amezidiwa alihitaji msaada WA dharula nilipo ingia nilimuona paka mweusi chini ya kitanda Cha mgonjwa nikamfukuza akato

Baada ya dakika chache yule mgonjwa aliaga Dunia, mda mchache baadae paka yule alirudi kwenye kitanda namba mbili nikamfukuza Tena haikupita mda mgonjwa akazidiwa akafari

Baada ya kama dakika Saba alirudi akaingia kwenye uvungu WA kitanda kinachofuata no 3 niliitwa na ndugu WA mgonjwa tukamfukuza haikupita mda mgonjwa akazidiwa akafariki Tena iliendelea hivyo Hadi akafika kitanda namba 5 NAE akafarik

Mgonjwa aliekuwa kitanda namba 6 kabla paka hajarudi aliinuka akaja ofisini akaomba ruhusa arudi home kitendo hicho ni kama kilimuokoa maana alivyoondoka tuu paka alirudi akaingia chini ya kitanda namba Saba na baada ya nusu saa mgonjwa akazidiwa akafarik

Siku hiyo naikumbuka Hadi leo kwani ni siku ambayo nilishuhudia vifo vingi na wagonjwa waliokua wanebakia bila kujali hali Zao Waliomba ruhusa wakaondoka wote na walioondoka walisalimik

Jambo Hilo lilinifanya niwe nawaswas dhidi ya paka WA hospitalini japo sikua na ushahudi au uhakika kuwa vifo vile vilitokana na ziara ya paka yule mweu

Tulikaa kikao nikushauri ule mti mkubwa wanapokutana Kila siku ukatwe na ulikat

Nini kimekushangaza,? Duniani Kuna MENGI ya KUSHANGA

Ukisikia kua uyaone sio Magorofa.AZAwasia i i kikanauuieuokua uyaone sio Magorofa.
Mbona hujamaliza stori uliyoanzosha umedandia nyingine?😐
 
Back
Top Bottom