McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Kituo cha habari cha kidijitali cha Jambo Online Television kimetangaza rasmi kurejea hewani kuanzia leo, Julai 3, 2026, baada ya kukamilika kwa adhabu ya kufungiwa kwa muda wa siku 90 iliyokuwa imewekwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Soma Pia: Jambo Online TV wafungiwa kwa siku 90 na TCRA
Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa TCRA wa kusitisha leseni ya kituo hicho kuanzia tarehe 2 Aprili, 2026.
Taarifa ya Afisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Jambo Online Television, John Marwa, imebainisha kuwa kituo hicho kilitumia kipindi cha miezi mitatu ya ufungiwa kama fursa ya kufanya maboresho makubwa ya ndani na kujengewa uwezo.
"Katika kipindi chote hicho cha siku tisini (90), tumekitumia kujikosoa, kujisahihisha na kujengewa uwezo na taasisi mbalimbali kuhusu uzingatiaji wa matakwa ya kitaaluma katika kuhabarisha umma,"