Jambo Usilolijua: Nyerere alipokea Taifa la namna gani? Mpango wa Kwanza wa Maendeleo 1961

Duh.. free market inahusiana na uzalishaji mali na ushindani wa kibiashara; hauusiani na uingizaji mali zisizozalishwa nchini (sera ya Mwinyi). Kama kweli Mwingi angetaka kuleta free market ya kweli angeweka mazingira ya uzalishaji wa ndani ili ushindane na ule wa nje (free market economy). Leo hii Kikwete anaenda kualika wawekezaji waje zaidi nchini lakini hujamsikia akienda nje kuuza kahawa yetu, pamba yetu, tumbaku yetu (raw) au hata africafe yetu, mvinyo wetu, nguo zetu au hata sigara zetu. Hivi sigara za Tanzania zinauzwa wapi duniani? - hivi mnajua ziliwahi kuuzwa hata nje ya nchi? Natumaini bado zinauzwa. Kikwete anaendeleza sera za "ruksa" siyo za "free market".

Good point. Lakini tatizo kubwa la TZ hatuna capital enough ya kukompete na kuwa more effecient ktk price, quality ukilinganisha na nchi zengine kama Kenya, China, nk. Techniques inayotumika sasa hivi ni kuwaleta investores hapa ili waje wainvest ili tupate technology ktk viwanda, capital investment. Idea siyo mbaya, kwa sababu ina faida ktk long term. Mwinyi alichofanya hamna tofauti yoyote na nchi kama China. China walipoamua kuingia ktk free market walichofanya ni kuwaleta investors waje ili wawekeze. Siyo lazima tujiandae ktk mazingira ya Free market, kwa sababu hatuna capital investment au industry technology.

Also, sidhani kama TZ tuna surplus ktk vyakula ambavyo vinatufanya tuweze kuuza nje ya nchi. Kuna clip moja ilikuwa hapa, ambapo Membe anasema kwamba investors walikuja kunnua asali, lakini kulikuwa hakuna enough ya kuuza nje ya nchi.

Issue nyengine inakuja kwamba TZ hatuwezi kuuza nje ya nchi raw material ni cost, na effeciency. Wenzetu wana tumia commercial agriculture technology ktk uzalishaji, wakati sisi bado tupo kwenye subsistance agriculture. Matokeo yake wakulima wa TZ hawapati faida wakiuza nje ya kutokana na gharama kubwa ya kilimo, wakati price ya World Market ipo low.
 
Sipo ktk utekelezaji wa serikali ya TZ ktk free market. Nazungumzia system yenyewe ya Free Market na ile dira yake ya rukhsa. Vitu kama dira ya demokrasia TZ, soko huria, free press. Kama Mwinyi angeendelea kufuata muongozo wa Nyerere wa Ujamaa, tusingekuwa hapa tulipo in free press, vyamaa vingi. Nazungumzia dira ya nchi. Mwinyi kachagua Free Market badala ya Ujamaa.
Mkuu utakuwa unaturudisha kule kule. Unaposema kama Mwinyi asingefanya hivi ama vile basi wala Nyerere asingemweka madarakani.
Labda wewe hukuwepo Tanzania lakini nakuhakikishia kwamba ruksa ya kuingia vitu nchini toka nje na kusafirisha nje bila ukiritimba wa Ujamaa ulianza rasmi July 1984 wakati Nyerere bado akiwa kiongozi, na tukaanza safari za kwenda Comoro na Dubai kuchukua mali za kuuza mjini. Kufikia January 1985 tayati tulikwisha ingiza machine ya kwanza ya kusafisha picha kwa saa ikiitwa Chekanao, Msimbazi - Kariakoo, kwa hiyo Mwinyi hakuwa muasisi wa lolote zaidi ya kutekeleza ya Nyerere na ndio maana watu wengi wanaamini Mwinyi alikuwa kibaraka wa Nyerere..I mean mkuu wangu umeenda shule, hivi kweli RUKSA ni mkakati gani wa kiuchumi yaani unaweza kuuandika vipi na ukaleta maana ikiwa lengo lake kubwa ilikuwa kuua viwanda vyote kwa wizi na Ufisadi. yaani wakati wa Mwinyi kila mtu alikuwa na hela, Inaruhusiwa kuiba maadam huikamatwi! ndio msemo wa mjini kweli akili hii..

Na tukirudi ktk swala la demokrasia ni Mwinyi aliyempinga Nyerere pindi Maalim Seif hamad na Mrema walipoanzisha vyama vya Upinzani, hilo tumekwisha lipitia hapa JF na ushahidi uliwekwa Nyerere akimwambia Mwinyi kwamba CCM sio baba yake na anaweza kurudisha kadi yake namba moja ikiwa Mwinyi atapinga kuona ushindani wa vyama.. tena yasemekana kwamba Mwinyi aliwatuma wana Usalama kwenda Butiama kumwona Nyerere na ndipo mzee Nyerere alipokuja juu..

Kifupi kuna mengi kayafanya Nyerere lakini maadam watu wantaka kumpaka tu ili mradi aonekane ndiye sababu kubwa to our failure (kama kawaida ya Wadanganyika) lakini ukweli utabakia kwamba Viongozi waliofuata wote hawakuwa na sifa ya kuwa marais iwe Mwinyi, Mkapa na hata JK..mtanisamehe. na ndio nikasema kwamba JKN alikuwa kweli Dikteta na hakika nchi kama yetu inahitaji dikteta ambaye anaweka malengo yake na hakuna mjadala hadi vitu hivyo vimefanyika. Tatizo kubwa la Nyerere ni kutosoma mila na desturi za Waafrika ktk Ujamaa wa kiafrika kwamba hatukuwahi kushare mali au ardhi ila kila kabila walikuwa na taratibu zao hata ktk ardhi ukifika umri fulani au ukioa unakabidhiwa mji, shamba na ardhi yako.. Kila mmoja wetu alijitegemea yeye na familia yake ila tuliishi kama ndugu ktk raha na taabu kwa kusaidiana - Harambee.. hapo ndipo Kenyatta alitupiga bao.

Na kosa jingine kubwa la Nyerere ni kutojua kumsoma mtu, viongozi wote waliotuachia hawakuwa na uwezo kabisa na nasikia matatizo hayo alikuwa nayo hata ktk familia yaani aliwaamini ndugu na watoto ambao kusema kweli walikuwa wabovu hata ktk maisha yao wenyewe. sasa sijui ile kujiweka kiamaskini ndio ilimpa imani ya mtu safi au basi tu alikuwa na mapungufu ya kutojua mbora nani ktk kurithisha.
 
Hiyo ni progress naona umemmis point ktk hizi data. Hiyo ni rate ya death ktk watoto wachanga ambayo inapungua. Unaona 2009, kwamba tupo kwenye progress nzuri, tunapunguza vifo kwa watoto wachanga kwa sababu ya uchumi mzuri, hospitali nzuri kwa kinamama. I guess you miss the poit here.

Yea mkuu nimekubali I missed the point lakini ukingalia the figure below, utakubaliana nami kwamba Nyerere katika uongozi wake aliitoa hiyo namba kutoka 150 in 1960 to 100 in 1985 wakati anaondoka. Ina maana ni punguzo la vifo 50 kati ya 1000. The following three presidents wameitoa hapo kwenye 100 mpaka 68, ina maana wamepunguza vifo 32 at 1000 against Nyerere 50. Amekula kichumba chote, wakati hawa watatu in 26 years bado wapo ndani ya kachumba kamoja. The guy is still leading on this as well mkuu!

Note: Nimeiweka pamoja na hiyo ya Algeria makusudi hoping that u can learn something.

Source: Bonyeza Hapa

f9jr00.png
 
Sundi, Nyerere ameondoka zaida ya robo karne iliyopita na Tanzania imekuwa na marais watatu baada yake Je tumejitosheleza kwa chakula?
Mwanakijiji, to my knowledge the answer is NO. Tanzania has not been able to be a self sufficient food producer despite various initiatives, most recently MKUKUTA.
 
Haya Nyambala, Nilikuuliza Kuwa Wikipedia Wamekosea wapi kuhusu Kambona thesis on 'Ujamaa' ? Kimya! Kwenye Gazeti la ' Raia Mwema ' toleo la 191, tarehe 22 June 2011. Maggid Mjengwa has written the same on Oscar Kambona, Titled : ' Oscar Kambona : Upande wa pili wa Shilingi '.

Let me praphrase him here:

" Tunajua leo, kuwa Kambona alitofautiana na Nyerere juu ya utekelezaji wa Azimio la Arusha. Alikuwa na mtazamo tofauti; hivyo basi, hakukuwa na dhambi ya kufikiri tofauti. "

Do you disagree with this thesis?

Mkuu hii siyo ligi, well kama utakumbuka nilichokuwa nikikishangaa ni citation ya Wikipedia kama reliable source yah habari. Unless hujui wikipedia inaoperate vipi. Ok tuje kwenye content, Hata haya aliyoandika Mjengwa hajaeleza source ya information yake ametoa wapi inawezekana naye ametoa huko huko wikipedia.
 
Nyambala, FYI Wikipedia wana citation of sources. Bado hujasema which details you disagree on the article. My thesis was Mwalimu may have ignored good advise from his colleagues vis-a-vis 'Ujamaa" and ostracised them from having an opposing view.

Here's the citations:

[h=2]References[/h]
  • Godfrey Mwakikagile, chapter 13, "Coup Attempts Against President Julius Nyerere and Reflections on Coup Leader Oscar Kambona by Andrew Nyerere," in his book Nyerere and Africa: End of an Era, 2nd Edition (Las Vegas, Nevada: Protea Publishing Co., 2005), pp. 359 – 377.
The book covers extensively the 1970 treason trial in which Oscar Kambona was implicated as the ring leader. The trial was open to the public.
The author has also addressed the army mutiny of 1964 in Tanganyika among many other subjects.
  • Jacqueline Audrey Kalley, Southern African Political History: A Chronology of Key Political Events from Independence to Mid-1997(Greenwood Press, 1999), p. 594, where she says President Julius Nyerere challenged Oscar Kambona to return to Tanzania and testify before a judicial commission that he had not deposited large sums of money in his account.
  • "Bibi Titi and the Treason Trial of 1970," in The East African, Nairobi, Kenya, 10 November - 16 November 1999.
  • Adam Seftel and Annie Smyth, editors, Tanzania: The Story of Julius Nyerere, Mkuki na Nyota Publishers, Dar es Salaam, Tanzania, and Fountain Publishers, Kampala, Uganda.
  • Kambona Foundation, Dar es Salaam, Tanzania.
Kambona and Nyerere remained political enemies until the end of their lives. When Kambona died in July 1997, Nyerere did not even attend his funeral. But his son Andrew Nyerere did, as he stated in his correspondence with Godfrey Mwakikagile, quoted in Mwakikagile's book,Nyerere and Africa: End of an Era. See Andrew Nyerere's letter in chapter 13 of the book, p. 365.
 
Bsi mkuu tumermaliza!
 
Mkuu utakuwa unaturudisha kule kule. Unaposema kama Mwinyi asingefanya hivi ama vile basi wala Nyerere asingemweka madarakani.
Labda wewe hukuwepo Tanzania lakini nakuhakikishia kwamba ruksa ya kuingia vitu nchini toka nje na kusafirisha nje bila ukiritimba wa Ujamaa ulianza rasmi July 1984 wakati Nyerere bado akiwa kiongozi, na tukaanza safari za kwenda Comoro na Dubai kuchukua mali za kuuza mjini. Kufikia January 1985 tayati tulikwisha ingiza machine ya kwanza ya kusafisha picha kwa saa ikiitwa Chekanao, Msimbazi - Kariakoo, kwa hiyo Mwinyi hakuwa muasisi wa lolote zaidi ya kutekeleza ya Nyerere na ndio maana watu wengi wanaamini Mwinyi alikuwa kibaraka wa Nyerere..I mean mkuu wangu umeenda shule, hivi kweli RUKSA ni mkakati gani wa kiuchumi yaani unaweza kuuandika vipi na ukaleta maana ikiwa lengo lake kubwa ilikuwa kuua viwanda vyote kwa wizi na Ufisadi. yaani wakati wa Mwinyi kila mtu alikuwa na hela, Inaruhusiwa kuiba maadam huikamatwi! ndio msemo wa mjini kweli akili hii..

Na tukirudi ktk swala la demokrasia ni Mwinyi aliyempinga Nyerere pindi Maalim Seif hamad na Mrema walipoanzisha vyama vya Upinzani, hilo tumekwisha lipitia hapa JF na ushahidi uliwekwa Nyerere akimwambia Mwinyi kwamba CCM sio baba yake na anaweza kurudisha kadi yake namba moja ikiwa Mwinyi atapinga kuona ushindani wa vyama.. tena yasemekana kwamba Mwinyi aliwatuma wana Usalama kwenda Butiama kumwona Nyerere na ndipo mzee Nyerere alipokuja juu..

Kifupi kuna mengi kayafanya Nyerere lakini maadam watu wantaka kumpaka tu ili mradi aonekane ndiye sababu kubwa to our failure (kama kawaida ya Wadanganyika) lakini ukweli utabakia kwamba Viongozi waliofuata wote hawakuwa na sifa ya kuwa marais iwe Mwinyi, Mkapa na hata JK..mtanisamehe. na ndio nikasema kwamba JKN alikuwa kweli Dikteta na hakika nchi kama yetu inahitaji dikteta ambaye anaweka malengo yake na hakuna mjadala hadi vitu hivyo vimefanyika. Tatizo kubwa la Nyerere ni kutosoma mila na desturi za Waafrika ktk Ujamaa wa kiafrika kwamba hatukuwahi kushare mali au ardhi ila kila kabila walikuwa na taratibu zao hata ktk ardhi ukifika umri fulani au ukioa unakabidhiwa mji, shamba na ardhi yako.. Kila mmoja wetu alijitegemea yeye na familia yake ila tuliishi kama ndugu ktk raha na taabu kwa kusaidiana - Harambee.. hapo ndipo Kenyatta alitupiga bao.

Na kosa jingine kubwa la Nyerere ni kutojua kumsoma mtu, viongozi wote waliotuachia hawakuwa na uwezo kabisa na nasikia matatizo hayo alikuwa nayo hata ktk familia yaani aliwaamini ndugu na watoto ambao kusema kweli walikuwa wabovu hata ktk maisha yao wenyewe. sasa sijui ile kujiweka kiamaskini ndio ilimpa imani ya mtu safi au basi tu alikuwa na mapungufu ya kutojua mbora nani ktk kurithisha.

Hiyo kwenye bold, nitagree kwamba TZ kwa ujumla hatukuwa na viongozi wenye sifa za kuwa Marais, akiwemo Nyerere. I hope utakubali kwamba Nyerere also hakuwa na sifa za kuwa kiongozi. Let's be honest.
 
Mwanakijiji, to my knowledge the answer is NO. Tanzania has not been able to be a self sufficient food producer despite various initiatives, most recently MKUKUTA.

sasa kwanini hizi 'various initiatives" hazijafanikiwa ikiwemo MKUKUTA?
 
Sundi, Nyerere ameondoka zaida ya robo karne iliyopita na Tanzania imekuwa na marais watatu baada yake Je tumejitosheleza kwa chakula?
Ndio mwalimu aliondoka zaidi ya robo karne iliyopita.Hata hivyo mkono wake ulikuwepo hadi awamu ya tatu.Alituwekea Mkapa mwanakijiji.Nilikuwepo pale uwanja wa mashujaa Moshi akiwa na Mkapa kumkampenia.Wananchi wakaanza kuzomea na akashindwa kupata nafasi ya kuongea vyema kumnadi Mr Clean.Mwishowe akaichukua picha ya Mkapa ya kampeni,akainyanyua juu na kusema "Mtake msitake huyu ndiyo rais wenu" Halafu akondoka zake.Kuna mambo megi mnatakakiwa kuyaweka into consideration.Hamjui ama mnachagua kuignore.Alipokufa na ccm ilikufa.Its obvious and that simple...Hata hivyo mfumo aliotuachia unaotegemea mawazo ya viongozi na too much power kwenye hizo hatamu,na huku hakuna wa kusikilizwa baada ya kupass away, ndo tatizo.Viongozi ni kama malaika wasiotakiwa kuhojiwa wala kuguswa....Mwalimu angewashugulikia vyema kuweka mfano,aliwaspoil,Ile vacuum aliyoiacha yeye mafisadi wameiziba.Ndo ukweli huo.
 
Mkandara;2145011]Mkandara;2145011Kifupi Nyerere hakuwa malaika, lakini tujaribu kutumia lugha inayoeleweka kwa sababu Nyerere did not fail.. kwa yale alokusudia kuyajenga. Aliweza kufanikisha yote kama alivyoahidi wananchi wakati wote! na unaweza kuziona investment zake wala usiweze kuzihesabu pamoja na kwamba hatukufanikiwa kiuchumi
Tatizo ni pale wanaosema alifeli wanaposhindwa kukubali kuwa kuna vitu unaweza kuvipima 'quantitatively' na vingine 'qualitatively.
Qualitatively ni pmoja na ethics(maadilli). Kwanfano Nyerere angeweza kuuza kipande cha nchi bila mtu kuhoji. Angeweza kuuza migodi bila sisi kujua wakati huo, lakini kuunganisha makabila 120 ili tuishi kwa utengamano sijui unapima kwa kuangalia nini.
Ngeria ilianza kama sisi na akina Nnandi Azikiwe, chief Obafemi Awolowo, kilichofuata ni mapinduzi moja baada ya jingine. Je wamefanikiwa zaidi ya kusikia North na South, Islam and Chrsitian wakikwaruzana kila siku licha ya utajiri wa mafuata walionano!!

Quantitatively, nakubaliana Mukandara kuwa amefanikiwa, na ninatumia nyaraka ya mpango wa maendeleo kuthibitisha.
Kwanza ailkiri mpango huo hakuwa kamilifu pg 1 paragraph 1: ........although the Tanganyika plan is not comprehensive... kisha akaonyesha vipaumbele, Pg 1 para 1 line 11; .....the final plan as presented in this booklet reflect priorities of Tanganyika government at this stage........

Mpango ukaonyesha kukwazika kutokana na rasilimali, pg 7 paragraph 3; ....the limitation of resources at Tanganyika mean that out of many desirable project only proportion can in fact be included in the plan.
Wakaonyesha vipaumbele vilichaguliwaje ushahidi wa kuwa hakukuwa na ukanda ukabila au udini katika pg hiyo hiyo, ...the crucial choice before the government was between the sort of development plan which would lay foundation for more rapid growth of economy.........

Wakachagua vipaumbele pg 8 para 2;
......a) development of agric and livestock (b)improvement of communication (c) develop. of secondary and tech school.

Yatokanayo na mpango (baadhi);
Pg 15 B (i) .........accomodation of Hon MP's; Nyumba zikajengwa kwa waheshimiwa na mawaziri ikiwa ni pamoja na kuchukua Karimjee.
Ni nyumba hizo zimeuzwa kwa wajanja na badala yake waziri anakaa hotelini mwaka mzima. Sasa hapa si Nyerere ali lay foundation!
Mpango ukasema ofisi za wabunge zitakuwa katika maboma ya majimbo yao, leo tunajenga ofisi badala ya kuwekeza katika irrigation.

Health; pg 28 para 5 .......training of African at all level is vitally important function of services......
Alianza na vyuo vya RMA(rural medical aid) na baada ya hapo akajenga medica assistant colleges na kutumia taasis za dini kulipia wanafunzi wa serikali ili kupata wataalamu. Nawahakikishia wana JF kuwa kama umezaliwa 60, 70, 80, basi umetibiwa na MA au RMA na si MD kwasababu hakukuwa na MD wakutosha, na hata leo ni watu wa miji mikubwa wana choice lakini kazi kubwa infanywa na hawa watu wa kada ya kati.

Pg 19,21-22 geo distribution of health service
Yote yametimizwa kama ilivyokusudiwa ndio maana kuna Bugando, Muhimbili, Isanga, Mawezi, Mbeya, Kibong'oto n.k
Utaona ule mpango wa kuwa na medical training centre ndio umezaa MUHAS.
Hospitali zimegawanywa kukidhi mahitaji ya kanda na maradhi husika.
JMK katika kampeni alitangaza kila hospitali iwe ya rufaa bila kujali kuwa hospitali za rufaa zina utaalamu wa kipekee.
Si JMK, BWM au AHM, wamejenga hospitali hata moja,soma mpango wa maendeleo uone Nyerere alivyokuwa anasikiliza ushauri wa wataalam. Tunaambiwa eti Nyerere alikuwa haambiliki na kafeli!!!

Communication; pg 29-30; bara bara zote zinazowekewa(si kujengwa) lami ni matokeo ya mpango huo wa Mwalimu.
Aerodrome; pg 38 para 1-2; aliahaidi new terminal, akaijenga hadi leo hakuna rais aliyejenga terminal au airport nje ya mpango wa mwalimu.
Hydro: pg 48 and 70; mpango ulisema ijengwe hale na Nyumba ya mungu, ambayo hadi leo tunatumia kukidhi mgao, hakuna rais aliyejenga hydro power tena baada ya Nyerere.
Agriculture pg 51, pg 61 last para; Akasema itajengwa ukiriguru, akajenga mlingao Tanga, Uyole, Nyegezi, mtwara n.k,chuo kikuu cha kilimo, Sokoine ile pale. Fikiri hii ilikuwa 1963.
Land use training institute pg 52; Mpango ukaeleza haja ya kuwa na chuo cha Ardhi, kipo morogoro, Tabora na sasa AU.
Ruvu ranch pg 71; Kulikuwa na kujenga ranch ya ruvu pamoja na machinjio na vyote hivyo vipo, kinachonishangaza JMK kwenda kufungua machinjio na ranchi Ruvu wakati haya yote Nyerere alishafanya mwaka 1963.

Education pg 80 A6; Technical school Dar, ipo tunaiona walichofanya marais wengine ni kubadili majina hakuna aliyejenga tech school nyingine.

80- A7; Ujenzi wa UDSM, tunayo na ndio wamesomea akina waheshimiwa. Kikwete, Lowassa,Maalimu Seif, Ngeleja, Kawambwa, Madabida, Filkunjombe, Ole Sendeka, Kigwangala, meya Jerry Slaa,Mtatiro J, Kuga M, Mwanvita Makamba n.k

Pia wanaharakati za jamii akina Mzee Warioba, wah.Sitta, Selelii, Zitto, Mdee,Hamadi R, Marando, Jenerali, J.Mbwambo,Jaji manento, Adam Lusekelo (RIP), n.k

Waalimu wenye heshima kitaifa na kimataifa kama akina Haroub Othman (RIP), Chachage (RIP),Lwaitama, Prof Palamagamba, Prof Shivji, Prof Lipumba,Dr Mwakyembe, Dr Rose Migiro, Dr Kitila Mkumbo n.k Je hatuoni zao la jitihada za mwalimu achilia mbali walio mitaani, haya si mafanikio!!!!
Nia ya mwalimu ilikuwa njema na inaonekana ingawa si lazima kuwe na matokeo mazuri kila mara.

Pg 84; ujenzi wa chuo cha elimu Chang'ombe, si ndio hicho wamebadili na kuwa University college, nani kafeli mwalimu au wanaomwigiza!!
Pg 80 C; Ujenzi wa maktaba na ipo inaonekana, rais yupi aliyejenga nyingine zaidi ya ile tunayoijua.
Pg 84; Community development college, ndio wamekibadili na kuwa chuo cha waziri mkuu Arusha, period! jina tu.
Urban sec school pg 82; Nyerere aliona shule za kata mwaka 1963, tusidanganywe kuwa ni ubunifu wa Lowasa.

Ngorongoro conservation pg 86-90: Mwaka 1963 Nyerere alijua umuhimu kwa vizazi vijavyo, leo Qatar wanakomba wanyama, hapa tuseme Nyerere amefeli, khaa!

Nadhani tuingalie hii document vizuri na tuichambue maana ndiyo ushahdi wa kile alichokusudia Nyerere kwa maandishi yake.
Tunapotumia maandiko ya wikipedia ambayo ni maoni ya watu kama sisi, hatumtendei haki.
Si kila kinachopatikana katika internet ni authenticated,New york times, na Raia mwema kuna columnist, je maneno yao ndiyo hitimisho?!!.
 
sasa kwanini hizi 'various initiatives" hazijafanikiwa ikiwemo MKUKUTA?

sababuni
  • its just paperwork ya kuombea misaada ambayo watekelzaji hawana nia namalengo ya dhati. Au tuseme hawajui exectionplan ya kuitekeleza.
Mfano
  • Wizara na mradi ya kilimo resources zake ziko dar na mijini . magari mengi ya miradi ya kilimo yako dar na machache mikoani . katika level ya wilaya ambako ndio kunamashamba na wakulima mpaka hakunakiti
  • Pesa nyigi inaishia kwenye adminsitration badalaya utekelezaji
 
Hiyo kwenye bold, nitagree kwamba TZ kwa ujumla hatukuwa na viongozi wenye sifa za kuwa Marais, akiwemo Nyerere. I hope utakubali kwamba Nyerere also hakuwa na sifa za kuwa kiongozi. Let's be honest.

Tulipopata uhuru tulkuwa milioni 9 na sasa milioni 40, obvious ni lazima tuwe na kiongozi. Sasa ''let's be honest' wewe unadhani katika watu waliokuwepo kuanzia harakati za uokombozi hadi sasa nani ana au alikuwa na sifa za kuwa kiongozi, pengine bora zaidi kuliko mwalimu. Ninahakika lazima tuwe au tungekuwa na kiongozi, sasa ni yupi kwa mtazamo wako.
 
Tatizo ni pale wanaosema alifeli wanaposhindwa kukubali kuwa kuna vitu unaweza kuvipima 'quantitatively' na vingine 'qualitatively.
Qualitatively ni pmoja na ethics(maadilli). Kwanfano Nyerere angeweza kuuza kipande cha nchi bila mtu kuhoji. Angeweza kuuza migodi bila sisi kujua wakati huo, lakini kuunganisha makabila 120 ili tuishi kwa utengamano sijui unapima kwa kuangalia nini.
Ngeria ilianza kama sisi na akina Nnandi Azikiwe, chief Obafemi Awolowo, kilichofuata ni mapinduzi moja baada ya jingine. Je wamefanikiwa zaidi ya kusikia North na South, Islam and Chrsitian wakikwaruzana kila siku licha ya utajiri wa mafuata walionano!!

Quantitatively, nakubaliana Mukandara kuwa amefanikiwa, na ninatumia nyaraka ya mpango wa maendeleo kuthibitisha.
Kwanza ailkiri mpango huo hakuwa kamilifu pg 1 paragraph 1: ........although the Tanganyika plan is not comprehensive... kisha akaonyesha vipaumbele, Pg 1 para 1 line 11; .....the final plan as presented in this booklet reflect priorities of Tanganyika government at this stage........

Mpango ukaonyesha kukwazika kutokana na rasilimali, pg 7 paragraph 3; ....the limitation of resources at Tanganyika mean that out of many desirable project only proportion can in fact be included in the plan.
Wakaonyesha vipaumbele vilichaguliwaje ushahidi wa kuwa hakukuwa na ukanda ukabila au udini katika pg hiyo hiyo, ...the crucial choice before the government was between the sort of development plan which would lay foundation for more rapid growth of economy.........

Wakachagua vipaumbele pg 8 para 2;
......a) development of agric and livestock (b)improvement of communication (c) develop. of secondary and tech school.

Yatokanayo na mpango (baadhi);
Pg 15 B (i) .........accomodation of Hon MP's; Nyumba zikajengwa kwa waheshimiwa na mawaziri ikiwa ni pamoja na kuchukua Karimjee.
Ni nyumba hizo zimeuzwa kwa wajanja na badala yake waziri anakaa hotelini mwaka mzima. Sasa hapa si Nyerere ali lay foundation!
Mpango ukasema ofisi za wabunge zitakuwa katika maboma ya majimbo yao, leo tunajenga ofisi badala ya kuwekeza katika irrigation.

Health; pg 28 para 5 .......training of African at all level is vitally important function of services......
Alianza na vyuo vya RMA(rural medical aid) na baada ya hapo akajenga medica assistant colleges na kutumia taasis za dini kulipia wanafunzi wa serikali ili kupata wataalamu. Nawahakikishia wana JF kuwa kama umezaliwa 60, 70, 80, basi umetibiwa na MA au RMA na si MD kwasababu hakukuwa na MD wakutosha, na hata leo ni watu wa miji mikubwa wana choice lakini kazi kubwa infanywa na hawa watu wa kada ya kati.

Pg 19,21-22 geo distribution of health service
Yote yametimizwa kama ilivyokusudiwa ndio maana kuna Bugando, Muhimbili, Isanga, Mawezi, Mbeya, Kibong'oto n.k
Utaona ule mpango wa kuwa na medical training centre ndio umezaa MUHAS.
Hospitali zimegawanywa kukidhi mahitaji ya kanda na maradhi husika.
JMK katika kampeni alitangaza kila hospitali iwe ya rufaa bila kujali kuwa hospitali za rufaa zina utaalamu wa kipekee.
Si JMK, BWM au AHM, wamejenga hospitali hata moja,soma mpango wa maendeleo uone Nyerere alivyokuwa anasikiliza ushauri wa wataalam. Tunaambiwa eti Nyerere alikuwa haambiliki na kafeli!!!

Communication; pg 29-30; bara bara zote zinazowekewa(si kujengwa) lami ni matokeo ya mpango huo wa Mwalimu.
Aerodrome; pg 38 para 1-2; aliahaidi new terminal, akaijenga hadi leo hakuna rais aliyejenga terminal au airport nje ya mpango wa mwalimu.
Hydro: pg 48 and 70; mpango ulisema ijengwe hale na Nyumba ya mungu, ambayo hadi leo tunatumia kukidhi mgao, hakuna rais aliyejenga hydro power tena baada ya Nyerere.
Agriculture pg 51, pg 61 last para; Akasema itajengwa ukiriguru, akajenga mlingao Tanga, Uyole, Nyegezi, mtwara n.k,chuo kikuu cha kilimo, Sokoine ile pale. Fikiri hii ilikuwa 1963.
Land use training institute pg 52; Mpango ukaeleza haja ya kuwa na chuo cha Ardhi, kipo morogoro, Tabora na sasa AU.
Ruvu ranch pg 71; Kulikuwa na kujenga ranch ya ruvu pamoja na machinjio na vyote hivyo vipo, kinachonishangaza JMK kwenda kufungua machinjio na ranchi Ruvu wakati haya yote Nyerere alishafanya mwaka 1963.

Education pg 80 A6; Technical school Dar, ipo tunaiona walichofanya marais wengine ni kubadili majina hakuna aliyejenga tech school nyingine.

80- A7; Ujenzi wa UDSM, tunayo na ndio wamesomea akina waheshimiwa. Kikwete, Lowassa,Maalimu Seif, Ngeleja, Kawambwa, Madabida, Filkunjombe, Ole Sendeka, Kigwangala, meya Jerry Slaa,Mtatiro J, Kuga M, Mwanvita Makamba n.k

Pia wanaharakati za jamii akina Mzee Warioba, wah.Sitta, Selelii, Zitto, Mdee,Hamadi R, Marando, Jenerali, J.Mbwambo,Jaji manento, Adam Lusekelo (RIP), n.k

Waalimu wenye heshima kitaifa na kimataifa kama akina Haroub Othman (RIP), Chachage (RIP),Lwaitama, Prof Palamagamba, Prof Shivji, Prof Lipumba,Dr Mwakyembe, Dr Rose Migiro, Dr Kitila Mkumbo n.k Je hatuoni zao la jitihada za mwalimu achilia mbali walio mitaani, haya si mafanikio!!!!
Nia ya mwalimu ilikuwa njema na inaonekana ingawa si lazima kuwe na matokeo mazuri kila mara.

Pg 84; ujenzi wa chuo cha elimu Chang'ombe, si ndio hicho wamebadili na kuwa University college, nani kafeli mwalimu au wanaomwigiza!!
Pg 80 C; Ujenzi wa maktaba na ipo inaonekana, rais yupi aliyejenga nyingine zaidi ya ile tunayoijua.
Pg 84; Community development college, ndio wamekibadili na kuwa chuo cha waziri mkuu Arusha, period! jina tu.
Urban sec school pg 82; Nyerere aliona shule za kata mwaka 1963, tusidanganywe kuwa ni ubunifu wa Lowasa.

Ngorongoro conservation pg 86-90: Mwaka 1963 Nyerere alijua umuhimu kwa vizazi vijavyo, leo Qatar wanakomba wanyama, hapa tuseme Nyerere amefeli, khaa!

Nadhani tuingalie hii document vizuri na tuichambue maana ndiyo ushahdi wa kile alichokusudia Nyerere kwa maandishi yake.
Tunapotumia maandiko ya wikipedia ambayo ni maoni ya watu kama sisi, hatumtendei haki.
Si kila kinachopatikana katika internet ni authenticated,New york times, na Raia mwema kuna columnist, je maneno yao ndiyo hitimisho?!!.
Asante Mkuu Nguruvi3, good analysis.
 
Nchi kama Ivory Cost, Kenya, Ghana, Nigeria,Botswana na Gabon ni za watu weusi lakini Uchumi wao upo pazuri sana. Ukifika city centra pao ni panang'aa na kupendeza kwa majengo. Kweli marais wao walifanyia kazi TABAKA LA WATU WAITWAO WAZURURAJI. Ukifika hapa petu, tupo pabaya sana ki uchumi na tabaka liitwao wazururaji tumelitesa sana. wakati wenzetu waliwalea vijana wao kuja kuwa maprofessional katika soccer, music na elimu, sisi hapa petu vijana wetu tuliwalea kuja kuwa wanakwaya, waimba ngonjera na kucheza gwaride.Kwangu mimi matunda ya uhuru nimeyapata kutoka kwa Mkapa na Kikwete tuu na sio utani. Fikiria majengo kama yale ya chimwaga yalikuwa yatumike kwa shughuli za kisiasa tuu lakini mkapa kayageuza kuwa university na kuja kuzalisha wasomi au wajenzi wa nchi wa baadae!
 
Nguruvi, neno "asante" hutolewa mara kwa watu kuonesha moyo wa shukrani. Lakini wakati mwingine halibebi uzito wa kile ambacho mtu anataka kukisema kwani kama kungekuwa na neno jingine basi lingetumika hilio. So najaribu kuchanganya maneno ya "asante" ambayo nayajua.

Havache!
Usengwili
Haika
Wabeja
Danke
Merci
thanks
Mucho Gratias!
Shukran
Ndaga fijo
...

sasa fikiria ningeweza kupata neno moja.. tatizo yote yanarudi kwenye "asante'!
 
Mpango ulikuwa mzuri na hata ukiusoma uko clear!! Taabu walikuwa warekelezaji VIAZI kiakili
 
Tatizo ni pale wanaosema alifeli wanaposhindwa kukubali kuwa kuna vitu unaweza kuvipima 'quantitatively' na vingine 'qualitatively.
Qualitatively ni pmoja na ethics(maadilli). Kwanfano Nyerere angeweza kuuza kipande cha nchi bila mtu kuhoji. Angeweza kuuza migodi bila sisi kujua wakati huo, lakini kuunganisha makabila 120 ili tuishi kwa utengamano sijui unapima kwa kuangalia nini.
Ngeria ilianza kama sisi na akina Nnandi Azikiwe, chief Obafemi Awolowo, kilichofuata ni mapinduzi moja baada ya jingine. Je wamefanikiwa zaidi ya kusikia North na South, Islam and Chrsitian wakikwaruzana kila siku licha ya utajiri wa mafuata walionano!!

Quantitatively, nakubaliana Mukandara kuwa amefanikiwa, na ninatumia nyaraka ya mpango wa maendeleo kuthibitisha.
Kwanza ailkiri mpango huo hakuwa kamilifu pg 1 paragraph 1: ........although the Tanganyika plan is not comprehensive... kisha akaonyesha vipaumbele, Pg 1 para 1 line 11; .....the final plan as presented in this booklet reflect priorities of Tanganyika government at this stage........

Mpango ukaonyesha kukwazika kutokana na rasilimali, pg 7 paragraph 3; ....the limitation of resources at Tanganyika mean that out of many desirable project only proportion can in fact be included in the plan.
Wakaonyesha vipaumbele vilichaguliwaje ushahidi wa kuwa hakukuwa na ukanda ukabila au udini katika pg hiyo hiyo, ...the crucial choice before the government was between the sort of development plan which would lay foundation for more rapid growth of economy.........

Wakachagua vipaumbele pg 8 para 2;
......a) development of agric and livestock (b)improvement of communication (c) develop. of secondary and tech school.

Yatokanayo na mpango (baadhi);
Pg 15 B (i) .........accomodation of Hon MP's; Nyumba zikajengwa kwa waheshimiwa na mawaziri ikiwa ni pamoja na kuchukua Karimjee.
Ni nyumba hizo zimeuzwa kwa wajanja na badala yake waziri anakaa hotelini mwaka mzima. Sasa hapa si Nyerere ali lay foundation!
Mpango ukasema ofisi za wabunge zitakuwa katika maboma ya majimbo yao, leo tunajenga ofisi badala ya kuwekeza katika irrigation.

Health; pg 28 para 5 .......training of African at all level is vitally important function of services......
Alianza na vyuo vya RMA(rural medical aid) na baada ya hapo akajenga medica assistant colleges na kutumia taasis za dini kulipia wanafunzi wa serikali ili kupata wataalamu. Nawahakikishia wana JF kuwa kama umezaliwa 60, 70, 80, basi umetibiwa na MA au RMA na si MD kwasababu hakukuwa na MD wakutosha, na hata leo ni watu wa miji mikubwa wana choice lakini kazi kubwa infanywa na hawa watu wa kada ya kati.

Pg 19,21-22 geo distribution of health service
Yote yametimizwa kama ilivyokusudiwa ndio maana kuna Bugando, Muhimbili, Isanga, Mawezi, Mbeya, Kibong'oto n.k
Utaona ule mpango wa kuwa na medical training centre ndio umezaa MUHAS.
Hospitali zimegawanywa kukidhi mahitaji ya kanda na maradhi husika.
JMK katika kampeni alitangaza kila hospitali iwe ya rufaa bila kujali kuwa hospitali za rufaa zina utaalamu wa kipekee.
Si JMK, BWM au AHM, wamejenga hospitali hata moja,soma mpango wa maendeleo uone Nyerere alivyokuwa anasikiliza ushauri wa wataalam. Tunaambiwa eti Nyerere alikuwa haambiliki na kafeli!!!

Communication; pg 29-30; bara bara zote zinazowekewa(si kujengwa) lami ni matokeo ya mpango huo wa Mwalimu.
Aerodrome; pg 38 para 1-2; aliahaidi new terminal, akaijenga hadi leo hakuna rais aliyejenga terminal au airport nje ya mpango wa mwalimu.
Hydro: pg 48 and 70; mpango ulisema ijengwe hale na Nyumba ya mungu, ambayo hadi leo tunatumia kukidhi mgao, hakuna rais aliyejenga hydro power tena baada ya Nyerere.
Agriculture pg 51, pg 61 last para; Akasema itajengwa ukiriguru, akajenga mlingao Tanga, Uyole, Nyegezi, mtwara n.k,chuo kikuu cha kilimo, Sokoine ile pale. Fikiri hii ilikuwa 1963.
Land use training institute pg 52; Mpango ukaeleza haja ya kuwa na chuo cha Ardhi, kipo morogoro, Tabora na sasa AU.
Ruvu ranch pg 71; Kulikuwa na kujenga ranch ya ruvu pamoja na machinjio na vyote hivyo vipo, kinachonishangaza JMK kwenda kufungua machinjio na ranchi Ruvu wakati haya yote Nyerere alishafanya mwaka 1963.

Education pg 80 A6; Technical school Dar, ipo tunaiona walichofanya marais wengine ni kubadili majina hakuna aliyejenga tech school nyingine.

80- A7; Ujenzi wa UDSM, tunayo na ndio wamesomea akina waheshimiwa. Kikwete, Lowassa,Maalimu Seif, Ngeleja, Kawambwa, Madabida, Filkunjombe, Ole Sendeka, Kigwangala, meya Jerry Slaa,Mtatiro J, Kuga M, Mwanvita Makamba n.k

Pia wanaharakati za jamii akina Mzee Warioba, wah.Sitta, Selelii, Zitto, Mdee,Hamadi R, Marando, Jenerali, J.Mbwambo,Jaji manento, Adam Lusekelo (RIP), n.k

Waalimu wenye heshima kitaifa na kimataifa kama akina Haroub Othman (RIP), Chachage (RIP),Lwaitama, Prof Palamagamba, Prof Shivji, Prof Lipumba,Dr Mwakyembe, Dr Rose Migiro, Dr Kitila Mkumbo n.k Je hatuoni zao la jitihada za mwalimu achilia mbali walio mitaani, haya si mafanikio!!!!
Nia ya mwalimu ilikuwa njema na inaonekana ingawa si lazima kuwe na matokeo mazuri kila mara.

Pg 84; ujenzi wa chuo cha elimu Chang'ombe, si ndio hicho wamebadili na kuwa University college, nani kafeli mwalimu au wanaomwigiza!!
Pg 80 C; Ujenzi wa maktaba na ipo inaonekana, rais yupi aliyejenga nyingine zaidi ya ile tunayoijua.
Pg 84; Community development college, ndio wamekibadili na kuwa chuo cha waziri mkuu Arusha, period! jina tu.
Urban sec school pg 82; Nyerere aliona shule za kata mwaka 1963, tusidanganywe kuwa ni ubunifu wa Lowasa.

Ngorongoro conservation pg 86-90: Mwaka 1963 Nyerere alijua umuhimu kwa vizazi vijavyo, leo Qatar wanakomba wanyama, hapa tuseme Nyerere amefeli, khaa!

Nadhani tuingalie hii document vizuri na tuichambue maana ndiyo ushahdi wa kile alichokusudia Nyerere kwa maandishi yake.
Tunapotumia maandiko ya wikipedia ambayo ni maoni ya watu kama sisi, hatumtendei haki.
Si kila kinachopatikana katika internet ni authenticated,New york times, na Raia mwema kuna columnist, je maneno yao ndiyo hitimisho?!!.

Mdau, I appreciate your analysis. But this does not mean I should discredit your analysis simply bse I have read it here in JF. Is JF a better forum than Wikipedia, New York Times or Raia Mwema?

Mzee MM: Mwalimu ignored Kambona's advise not to take up the policy of 'Ujamaa' wholesale. He decided to copy the chinese ideology championed by Mao Zedong. What he didn't know is that behind closed doors theses communist policies where causing famine and starvation in China. Lookup the 'Great Chinese Famine ' this famine cuased the deaths of up to 45 Million people. Mao didn't know the extent of this mass extinction kwasababu alikuwa mkali hataki kuambiwa kwahiyo watu wa serikali yake walikuwa wanamficha kwa kupanda mazao ya bandia akitembelea mashamba yao.

Pia serikali ya mwalimu ilitaifisha mashamba ya wakulima wakubwa wa kigeni wa wakati huo na kuwa beza kuwa ni ' Ma-Kabaila '. In the long run this was a bad decision. As your report indicates, we were not there technically. Hata leo baada ya SUA kuzalisha Ma-Gradute wote we still don't have the know-how.

Baada ya miaka karibu 50 we are back to square one. Multi-party democracy, Mkukuta and free enterprise. Advise given by Kambona nearly 50 years ago, ignored it, akamwita 'Bepari' / Mwizi na kumtimua.

I genuinely believe Mwalimu wanted to develop Tanzania but his ideas came short. Today's leaders are completely unpatriotic and look to leadership as a means to become Wealthy - easily.

Kama wahenga wasemavyo. Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. It is not enough for us to talk about the successes and failures of previous administrations. The real challenge is what are we as going to do about the current malaise.
 
Back
Top Bottom