CCM sio kama haitaki upinzani No!,ni wapinzani ambao kwa sasa wanaitwa "wapingaji"ndio hawaitaki CCM, badala yakuja na sera mbadala na kuwauzia wananchi wao kila wakisimama jukwaani wao ajenda yao ni "tutaitoa CCM madarakani"na vijikashfa vya hapa napale.Uchaguzi ujao mtafanya peke yenu mshinde kwa 200% maana wapinzani waliposhiriki mlipata 100%.....
Mkuu rais ni binadamu kama mimi na wewe, lakini anaapa. Sio kila mtu anayeapa.
Hizi ni taratibu za kiuongozi za dunia nzima, na hazijaanza leo wala jana, kabla Yesu hajazaliwa zilikuwepo na akaziacha. Mimi na wewe tutaziacha pia. Huwezi kuzikwepa. Hakuna mtu anayemuabudu binadamu mwenzake. ni suala la maadili ya kimaisha, ambayo tutakufa na tutayaacha yakiendelea kuwaongoza watakaokuwepo nyakati hizo.
Ni suala la heshima tu, na sio zaidi ya hapo.
Ndo siasa ulitaka wasemeje hatutaki kuitoa ccm madarakani!!!?.....Ummalizapo adui ndio mwanzo wa adui mpya.....jipangeni kutafuta adui mpya miongoni mwenu...maana Sina hakika Kama Upinzani watakuja simamisha mgombea Tena....kwa katiba hii nasema Sina hakika.....CCM sio kama haitaki upinzani No!,ni wapinzani ambao kwa sasa wanaitwa "wapingaji"ndio hawaitaki CCM, badala yakuja na sera mbadala na kuwauzia wananchi wao kila wakisimama jukwaani wao ajenda yao ni "tutaitoa CCM madarakani"na vijikashfa vya hapa napale.
Point yangu hujaipata ndio maana ccm iwatawala milele.Ndo siasa ulitaka wasemeje hatutaki kuitoa ccm madarakani!!!?.....Ummalizapo adui ndio mwanzo wa adui mpya.....jipangeni kutafuta adui mpya miongoni mwenu...maana Sina hakika Kama Upinzani watakuja simamisha mgombea Tena....kwa katiba hii nasema Sina hakika.....
CCM sio kama haitaki upinzani No!,ni wapinzani ambao kwa sasa wanaitwa "wapingaji"ndio hawaitaki CCM, badala yakuja na sera mbadala na kuwauzia wananchi wao kila wakisimama jukwaani wao ajenda yao ni "tutaitoa CCM madarakani"na vijikashfa vya hapa napale.
CCM sio kama haitaki upinzani No!,ni wapinzani ambao kwa sasa wanaitwa "wapingaji"ndio hawaitaki CCM, badala yakuja na sera mbadala na kuwauzia wananchi wao kila wakisimama jukwaani wao ajenda yao ni "tutaitoa CCM madarakani"na vijikashfa vya hapa napale.
Amani ndiyo kichaka chenu cha kufanyia maovu.Kwaiyo
unataka wafanye Fujo na kuhatarisha amani ya nchi? Tutawadeal
Point yangu hujaipata ndio maana ccm iwatawala milele.
Sio wewe tu hata Jiwe anaamini hivyo....atatawala milele.Point yangu hujaipata ndio maana ccm iwatawala milele.
Sijawahi hata kuona japo kipeperushi tu cha ilani ya chama cha upinzani.Usitake kujitoa ufahamu kwa kubeba utetezi dhaifu. Usidhani watu wanaoshabikia upinzani ni wajinga kwamba wanafurahia tu ccm kutolewa madarakani. Kwanza lengo la chama chochote cha siasa ni kukamata dola. Na kwenye kukamata dola lazima watumie sera na mbinu mbalimbali na hilo sio kosa kwani ndio kanuni ya mchezo. Hapa unataka kuonyesha wapinzani wao wakipanda jukwaaani hawaongei chochote cha kuhusu wananchi bali ni kuitoa ccm tu madarakani.
Ndivyo CCM wanavyoamini.Ndiyo maana mara wanapo ona wanatikiswa kisingizio chao ili wabaki madaraki ni "amani ya nchi".Lakini wapinzani kuuawa,kuchomwa visu,mapanga ,kupotezwa na kila aina ya mateso kwao haina maana yoyote.Wapinzani HAWASTAHILI AMANI YA NCHI WANAOIHUBIRI.Sio wewe tu hata Jiwe anaamini hivyo....atatawala milele.
CCM sio kama haitaki upinzani No!,ni wapinzani ambao kwa sasa wanaitwa "wapingaji"ndio hawaitaki CCM
Jeshi la Polisi mnalo ni kitu gani kime washinda kuwapeleka Mahakamani na hatimae kuwafunga hao mnao waita kuwa ni Wapigaji ?
, badala yakuja na sera mbadala na kuwauzia wananchi wao kila wakisimama jukwaani wao ajenda yao ni "tutaitoa CCM madarakani"na vijikashfa vya hapa napale.
Dhumuni la chama chochote kilichopo madarakani ni kung'ang'ania dola isichukuliwe na wapinzani.Dhumuni Kuu la Chama chochote ni kushika Dola
Mkuu, umeangalia upande mmoja wa ccm bila kuangalia jinsi ndani ya cdm hakuna demokrasia[emoji12] ! Kama wanataka demokrasia ianzie ndani yao cdm. Charity begins at home.Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo wanapambana kwa njia zote zisizo za kidemokrasia, bila kujali dhuluma wanayofanya kwa wananchi wanaotumia muda wao mwingi kwenye kwenye mikutano ya kampeni na kwenye foleni, wakisubiri kupiga kura. Mbaya zaidi, CCM wako tayari kufanya mauaji kwa viongozi na wafuasi wa Chadema, tena wakishirikiana na vyombo vya dola na viongozi wa serikali ya CCM.
Jambo wanalopaswa kufahamu Chadema, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha.
Sikuwahi kukubaliana na wanaosema Watanzania hatuwezi kuheshimiana kwa sababu hatukuwahi kumwaga damu wenyewe kwa wenyewe, lakini sasa nakubaliana nawo. Sihamasishi kumwaga damu, lakini nakubali kwamba dhuluma inafanyika kwa sababu hatuheshimiani, na hatuheshimiani kwa sababu hatujatoana damu.
Dhuluma wanayofanyiwa Chadema itaendelea, kama wao wataendelea kusubiri siku ambayo CCM watakubali kukaa mezani, hiyo siku haiwezi kutokea. Hakuna mazungumzo kati ya mtu anayepoteza (looser) na mtu anayefaidika (beneficiary). Mazungumzo na suluhu vitakuja vyenyewe ikiwa wote mnapoteza.
Kila kukicha tunasikia kiongozi wa CDM amechinjwa, mara amepotea, mara amekatwa katwa mapanga na kutupwa mtaroni, mwingine ametiwa ndani kwa amri ya mkuu wa wilaya, wengine wanachomwa visu....hatusikii wa CCM wakifanyiwa hayo. Kwa hali hiyo, hakuna suluhu, kwa sababu anayepoteza (CDM) analialia, mnufaika (CCM) anafurahi. Lakini kama wote watalia, suluhu itakuja bila kuitwa.
Jambo wanalopaswa kufanya Chadema ni kujiandaa kifedha na kiintelijensia kabla ya 2020, la sivyo hawatapata jimbo hata moja.
Kujiandaa kifedha ni rahisi kuliko kujiandaa kiintelijensia. CCM hawana intelijensia zaidi ya kutegemea vyombo vya kiserikali. Lakini kama Chadema itawekeza kiuhakika kwenye intelijensia, ni Jeshi la wananchi pekee ndio litaweza kuidhibiti. "Jeshi" tu ndio chombo cha kogopa, na kuheshimu kiasi.
Idara ya usalama imejaa 'corrupts' na 'ignorant'. Wachache wanaojitambua hawawezi kufanya ujinga wa CCM, na hata wakirubuniwa hawawezi kufanya ujinga wa CCM kwa ufanisi wa kutosha. "Mtu anayefanya kazi kwa kurubuniwa au kulazimishwa hawezi kuifanya kwa ufanisi wa kutosha".
Zaidi wanaojitambua ndani ya vyombo vya dola, watakuwa radhi kutoa ushirikiano kwa Chadema kuliko CCM.
Na kwa hiyo, Chadema ikitaka kuunda intelijensia imara, itahitaji watu wa kujitolea. Ogopa mtu anayejitolea kupambana. Lakini pia anayejitolea anaweza kuwa 'ametumwa'.
Anyway! Jambo la msingi ndio hilo, kujiandaa. La sivyo, hakuna jimbo litaenda Chadema mwaka 2020. Kwanza hakutakuwa na uchaguzi zaidi ya vituko, na kama kweli Chadema wanataka kuirudisha nchi kwenye mstari, ni vema kujiandaa na vituko hivyo. Haipaswi hata kidogo kusubiri "Rais Mstaarabu" ili kupambana, hapana. Anayestahili "kupigwa" ni mtu asiye na ustaarabu. Mwaka 2020 unapaswa kuwa mwaka wa kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu tunavyofanyiana watanzania wenyewe kwa wenyewe. Na njia pekee iliyobaki ya kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu, ni kuwafanyia hao wahusika, vitendo visivyo vya kistaarabu.
Msimamizi anayetangaza matokeo ya uongo, halafu akaendelea kuishi kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Mkuu wa polisi anayetuma polisi kutishia watu, kupiga raia na kusaidia CCM, akiachwa aendelee kula maisha kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Kila kiumbe kinachofanya ujinga, kikaachwa kiendelee kuishi kwa raha mustarehe, kitarudia ujinga wake.
Kiongozi wa tume ya uchaguzi anayetumiwa na CCM kudhulumu demokrasia akiachwa aendelee kula maisha, atarudia tena.
Hao, wanatakiwa kukomeshwa, ili iwe funzo kwao na kwa wengine wenye tabia kama zao, na iwe funzo kwa anayewatuma.
Ukitaka kuua Nyoka, kata kichwa, ukishindwa, kata hata mkia, uwezekano ni kuwa atakimbia lakini tayari umempumguzia nguvu.
Nani mwenye uwezo wa kuwakomesha, bila kujiingiza katika mgogoro wa kisheria? Ndio hapo pa kuandaa intelijensia imara. Lawama ni bora kuliko fedheha, na katika hili anayestahili lawama ni CCM, na fedheha ni kwa Chadema. Mwaka 2020, Chadema ni vema walaumiwe kuliko kufedheheka.
Hata hivyo viongozi wakubwa wa Chadema hawapaswi kujiingiza katika hayo, kwasababu watakamatwa na kufungwa mara moja.
Na sisi wengine, tu waumini wa ubinadamu, ni rahisi zaidi kuachana na siasa kuliko kufanya hayo, hatuwezi hayo.
mr mkiki.
Sijawahi hata kuona japo kipeperushi tu cha ilani ya chama cha upinzani.
Dhumuni la chama chochote kilichopo madarakani ni kung'ang'ania dola isichukuliwe na wapinzani.
Ww kutokuona kitu hakumaanishi kitu hicho hakipo. Huu ni utetezi wa kijinga.
Sijawahi kuwasikia chadema majukwaani wakiongelea sera mbadala zaidi ya kuishambulia ccm.Ww kutokuona kitu hakumaanishi kitu hicho hakipo. Huu ni utetezi wa kijinga.
Manung'uniko yanaendelea.