Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Na ccm unawapa ushauri gani ndugu yangu? Huoni na wao hili linawahusu? Machafuko yakitokea hata hizo tambo zitaimbiwa wapi? Sote tutakuwa kama Nungunungu na Nguchiro- kuishi nyumba moja bila mkwaruzo kujikinga na vita...
 
Watu 3 wakiwa na pikipiki wamemvamia mgombea wa udiwani (CDM) kata ya Bwisha, Ukara. Baada ya uvamizi wananchi wenye hasira kali waliwazingira majambazi hao na mmoja amefanikiwa kuuwawa na wananchi hao. Wawili walibahatika kukimbia.
 
Amani haina amani kama haituletei furaha na haki..... Tuko tayari kwa lolote ili tupate haki.
ccm sasa hakiwezi ushindani wa kisiasa kwakua kisha poteza mvuto so wana Amua Kutumia Nguvu Waliyo kua Nayo Nchi Hii Kuwaadhibu Wengine
 
Hapo najua watauiliwa na chadema wa Mikoa mingine tu kama ilivyo ada lkn hakuna wa KLM atakayeguswa!
Unaweza kushabikia vitendo vinavyohatarisha amani, kisa upo upande wa muonevu, but i tell you, kikinuka wote tutakua kwenye risk sawa.
Ndio uzuri wa haya mambo.
 
Ushauri huu nafikiri ni lazima ufanyiwe kazi
 
Amani haikopesheki wala haiazimiki. Thamani yake utaijua ukiitupa/poteza.
Wacha upumbavu, amani amani wakati jirani yako anawachinja wanao huku akichekelea!!
Huyo jirani hajui machungu unayopata, chinja nae wa kwake atajua tu thamani ya uhai.

Amani ni tunda la haki, bila haki hakuna kabisa amani...[emoji1657][emoji1657]
 
Naunga mkono hoja na nipo tayari kumkata panga mwana CCM na kumla nyama
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Hiki ndo alichomaanisha mtoa mada,hatuheshimiani
 
Mfanye siasa za vurugu, mfanye siasa za ki staarabu Urais mtaishia kunawa tu.Watanzania wanajua walifanyalo.
 
Mfanye siasa za vurugu, mfanye siasa za ki staarabu Urais mtaishia kunawa tu.Watanzania wanajua walifanyalo.
Unadhani matukio haya ni ya kutunga na kutafuta attention. Lakini mkianza kusikia kuna watu wameanza kupoteza maisha ndio mtasimama kukemea. Tutakuwa tumechelewa sana. Kwanini msikubali kuingia katika uchaguzi, mshinde na kushindwa kihalali? Kwani lazima mshinde?
 
Wacha upumbavu, amani amani wakati jirani yako anawachinja wanao huku akichekelea!!
Huyo jirani hajui machungu unayopata, chinja nae wa kwake atajua tu thamani ya uhai.

Amani ni tunda la haki, bila haki hakuna kabisa amani...[emoji1657][emoji1657]
A time is coming when Citizens will speak and Police will listen,..

When Injustice Prevails, Civil Disobedience Is Inevitable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…