Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa ccm hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone. Pia tembeeni na kopi za fomu kwenye bahasha ifananoyo na ya nec ili kuwaadaa waporaji wakija wapore hizo kopi huku halisi mkiwa mmezificha mnapopajua wenyewe. Tumieni kanuni namba 9 ya shetani mtu akikufanyia ushenzi mfanyie mara kumi yake mpaka ajiulize huyu ni mtu au.Endeleeni kuwa wajinga mtatekwa hadi mchakae
 
Hongera sana mtoa mada!! Uliona mbali sana kwa post yako hii ya 2018. Nakuunga mkono asilimia 100. Siasa za kistastaarabu Tanzania hazina nafasi tena na CCM wamedhamilia kututawala kwa mkono wa chuma na udhalimu wote.

Ni wakati sasa wananchi tuamue kuwa liwalo na liwe. Ni Heri tupoteze uhai ili watoto wetu na wajukuu wetu waishi kwenye nchi nzuri , salama yenye haki na maendeleo ya kweli ya watu na vitu!!!
 
Hakika

Viongózi wengi wa CCM mafanikio hawayapati kutokana na Mishahara yao, bali ni Utapeli na biashara mbali mbali ya magendo inayolindwa na Mwavuli wa cheo au dhamana itokanayo na chama,
 
Duh....interesting and at the same time disappointing....hivi kweli Chadema wana ustaarabu? Mara wasingizie mtu amepigwa na kuumizwa Sana wakati ukweli ni kuwa alilewa..ofisi zinachomwa na wenyewe kuweka mazingira ya kuwa kuna vurugu...tangu lini Chadema alikuwa na siasa za ustaarabu? Namkumbuka yule kijana aliyemwagiwa tindikali kule Tabora wakati wa uchaguzi 2010...namkumbuka DC mwanamke aliyedhalilishwa kwa 'kupapaswa' kule Tabora...Chadema wanatishia kumwaga? Sawa...fanyeni hivyo tuone...mtakimbizwa mpaka Malawi au Kenya...upo wakati CUF walikuwa na siasa hizo na kilichowakuta hawatasahau ...baadhi yao walikimbilua Kenya kujifanya wakimbizi. But the world remained silent...
 
Watu 3 wakiwa na pikipiki wamemvamia mgombea wa udiwani (CDM) kata ya Bwisha, Ukara. Baada ya uvamizi wananchi wenye hasira kali waliwazingira majambazi hao na mmoja amefanikiwa kuuwawa na wananchi hao. Wawili walibahatika kukimbia.
nimeumia mno kusikia wapo waliokimbia maana chuma kinanolewa na chuma.Wakiua mmoja waende kumi choni, good job Ukara
 
Toka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?
 
CCM iwaachie wananchi waamue
 
Potezea uhai wako mwenyewe kwenye swala la kufa, hakuna kuhamasishana.
 
Mbowe alilea sana huu mchezo. Sasa anavuna alichopanda... TL ni tofauti sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…