Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mtoa mada!! Uliona mbali sana kwa post yako hii ya 2018. Nakuunga mkono asilimia 100. Siasa za kistastaarabu Tanzania hazina nafasi tena na CCM wamedhamilia kututawala kwa mkono wa chuma na udhalimu wote.Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo wanapambana kwa njia zote zisizo za kidemokrasia, bila kujali dhuluma wanayofanya kwa wananchi wanaotumia muda wao mwingi kwenye kwenye mikutano ya kampeni na kwenye foleni, wakisubiri kupiga kura. Mbaya zaidi, CCM wako tayari kufanya mauaji kwa viongozi na wafuasi wa Chadema, tena wakishirikiana na vyombo vya dola na viongozi wa serikali ya CCM.
Jambo wanalopaswa kufahamu Chadema, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha.
Sikuwahi kukubaliana na wanaosema Watanzania hatuwezi kuheshimiana kwa sababu hatukuwahi kumwaga damu wenyewe kwa wenyewe, lakini sasa nakubaliana nawo. Sihamasishi kumwaga damu, lakini nakubali kwamba dhuluma inafanyika kwa sababu hatuheshimiani, na hatuheshimiani kwa sababu hatujatoana damu.
Dhuluma wanayofanyiwa Chadema itaendelea, kama wao wataendelea kusubiri siku ambayo CCM watakubali kukaa mezani, hiyo siku haiwezi kutokea. Hakuna mazungumzo kati ya mtu anayepoteza (looser) na mtu anayefaidika (beneficiary). Mazungumzo na suluhu vitakuja vyenyewe ikiwa wote mnapoteza.
Kila kukicha tunasikia kiongozi wa CDM amechinjwa, mara amepotea, mara amekatwa katwa mapanga na kutupwa mtaroni, mwingine ametiwa ndani kwa amri ya mkuu wa wilaya, wengine wanachomwa visu....hatusikii wa CCM wakifanyiwa hayo. Kwa hali hiyo, hakuna suluhu, kwa sababu anayepoteza (CDM) analialia, mnufaika (CCM) anafurahi. Lakini kama wote watalia, suluhu itakuja bila kuitwa.
Jambo wanalopaswa kufanya Chadema ni kujiandaa kifedha na kiintelijensia kabla ya 2020, la sivyo hawatapata jimbo hata moja.
Kujiandaa kifedha ni rahisi kuliko kujiandaa kiintelijensia. CCM hawana intelijensia zaidi ya kutegemea vyombo vya kiserikali. Lakini kama Chadema itawekeza kiuhakika kwenye intelijensia, ni Jeshi la wananchi pekee ndio litaweza kuidhibiti. "Jeshi" tu ndio chombo cha kogopa, na kuheshimu kiasi.
Idara ya usalama imejaa 'corrupts' na 'ignorant'. Wachache wanaojitambua hawawezi kufanya ujinga wa CCM, na hata wakirubuniwa hawawezi kufanya ujinga wa CCM kwa ufanisi wa kutosha. "Mtu anayefanya kazi kwa kurubuniwa au kulazimishwa hawezi kuifanya kwa ufanisi wa kutosha".
Zaidi wanaojitambua ndani ya vyombo vya dola, watakuwa radhi kutoa ushirikiano kwa Chadema kuliko CCM.
Na kwa hiyo, Chadema ikitaka kuunda intelijensia imara, itahitaji watu wa kujitolea. Ogopa mtu anayejitolea kupambana. Lakini pia anayejitolea anaweza kuwa 'ametumwa'.
Anyway! Jambo la msingi ndio hilo, kujiandaa. La sivyo, hakuna jimbo litaenda Chadema mwaka 2020. Kwanza hakutakuwa na uchaguzi zaidi ya vituko, na kama kweli Chadema wanataka kuirudisha nchi kwenye mstari, ni vema kujiandaa na vituko hivyo. Haipaswi hata kidogo kusubiri "Rais Mstaarabu" ili kupambana, hapana. Anayestahili "kupigwa" ni mtu asiye na ustaarabu. Mwaka 2020 unapaswa kuwa mwaka wa kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu tunavyofanyiana watanzania wenyewe kwa wenyewe. Na njia pekee iliyobaki ya kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu, ni kuwafanyia hao wahusika, vitendo visivyo vya kistaarabu.
Msimamizi anayetangaza matokeo ya uongo, halafu akaendelea kuishi kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Mkuu wa polisi anayetuma polisi kutishia watu, kupiga raia na kusaidia CCM, akiachwa aendelee kula maisha kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Kila kiumbe kinachofanya ujinga, kikaachwa kiendelee kuishi kwa raha mustarehe, kitarudia ujinga wake.
Kiongozi wa tume ya uchaguzi anayetumiwa na CCM kudhulumu demokrasia akiachwa aendelee kula maisha, atarudia tena.
Hao, wanatakiwa kukomeshwa, ili iwe funzo kwao na kwa wengine wenye tabia kama zao, na iwe funzo kwa anayewatuma.
Ukitaka kuua Nyoka, kata kichwa, ukishindwa, kata hata mkia, uwezekano ni kuwa atakimbia lakini tayari umempumguzia nguvu.
Nani mwenye uwezo wa kuwakomesha, bila kujiingiza katika mgogoro wa kisheria? Ndio hapo pa kuandaa intelijensia imara. Lawama ni bora kuliko fedheha, na katika hili anayestahili lawama ni CCM, na fedheha ni kwa Chadema. Mwaka 2020, Chadema ni vema walaumiwe kuliko kufedheheka.
Hata hivyo viongozi wakubwa wa Chadema hawapaswi kujiingiza katika hayo, kwasababu watakamatwa na kufungwa mara moja.
Na sisi wengine, tu waumini wa ubinadamu, ni rahisi zaidi kuachana na siasa kuliko kufanya hayo, hatuwezi hayo.
mr mkiki.
I'm waiting for that time bwana! Mungu asaidie! Baada ya hapo tutaheshinianaA time is coming when Citizens will speak and Police will listen,..
When Injustice Prevails, Civil Disobedience Is Inevitable.
HakikaHongera sana mtoa mada!! Uliona mbali sana kwa post yako hii ya 2018. Nakuunga mkono asilimia 100. Siasa za kistastaarabu Tanzania hazina nafasi tena na CCM wamedhamilia kututawala kwa mkono wa chuma na udhalimu wote.
Ni wakati sasa wananchi tuamue kuwa liwalo na liwe. Ni Heri tupoteze uhai ili watoto wetu na wajukuu wetu waishi kwenye nchi nzuri , salama yenye haki na maendeleo ya kweli ya watu na vitu!!!
Duh....interesting and at the same time disappointing....hivi kweli Chadema wana ustaarabu? Mara wasingizie mtu amepigwa na kuumizwa Sana wakati ukweli ni kuwa alilewa..ofisi zinachomwa na wenyewe kuweka mazingira ya kuwa kuna vurugu...tangu lini Chadema alikuwa na siasa za ustaarabu? Namkumbuka yule kijana aliyemwagiwa tindikali kule Tabora wakati wa uchaguzi 2010...namkumbuka DC mwanamke aliyedhalilishwa kwa 'kupapaswa' kule Tabora...Chadema wanatishia kumwaga? Sawa...fanyeni hivyo tuone...mtakimbizwa mpaka Malawi au Kenya...upo wakati CUF walikuwa na siasa hizo na kilichowakuta hawatasahau ...baadhi yao walikimbilua Kenya kujifanya wakimbizi. But the world remained silent...Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo wanapambana kwa njia zote zisizo za kidemokrasia, bila kujali dhuluma wanayofanya kwa wananchi wanaotumia muda wao mwingi kwenye kwenye mikutano ya kampeni na kwenye foleni, wakisubiri kupiga kura. Mbaya zaidi, CCM wako tayari kufanya mauaji kwa viongozi na wafuasi wa Chadema, tena wakishirikiana na vyombo vya dola na viongozi wa serikali ya CCM.
Jambo wanalopaswa kufahamu Chadema, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha.
Sikuwahi kukubaliana na wanaosema Watanzania hatuwezi kuheshimiana kwa sababu hatukuwahi kumwaga damu wenyewe kwa wenyewe, lakini sasa nakubaliana nawo. Sihamasishi kumwaga damu, lakini nakubali kwamba dhuluma inafanyika kwa sababu hatuheshimiani, na hatuheshimiani kwa sababu hatujatoana damu.
Dhuluma wanayofanyiwa Chadema itaendelea, kama wao wataendelea kusubiri siku ambayo CCM watakubali kukaa mezani, hiyo siku haiwezi kutokea. Hakuna mazungumzo kati ya mtu anayepoteza (looser) na mtu anayefaidika (beneficiary). Mazungumzo na suluhu vitakuja vyenyewe ikiwa wote mnapoteza.
Kila kukicha tunasikia kiongozi wa CDM amechinjwa, mara amepotea, mara amekatwa katwa mapanga na kutupwa mtaroni, mwingine ametiwa ndani kwa amri ya mkuu wa wilaya, wengine wanachomwa visu....hatusikii wa CCM wakifanyiwa hayo. Kwa hali hiyo, hakuna suluhu, kwa sababu anayepoteza (CDM) analialia, mnufaika (CCM) anafurahi. Lakini kama wote watalia, suluhu itakuja bila kuitwa.
Jambo wanalopaswa kufanya Chadema ni kujiandaa kifedha na kiintelijensia kabla ya 2020, la sivyo hawatapata jimbo hata moja.
Kujiandaa kifedha ni rahisi kuliko kujiandaa kiintelijensia. CCM hawana intelijensia zaidi ya kutegemea vyombo vya kiserikali. Lakini kama Chadema itawekeza kiuhakika kwenye intelijensia, ni Jeshi la wananchi pekee ndio litaweza kuidhibiti. "Jeshi" tu ndio chombo cha kogopa, na kuheshimu kiasi.
Idara ya usalama imejaa 'corrupts' na 'ignorant'. Wachache wanaojitambua hawawezi kufanya ujinga wa CCM, na hata wakirubuniwa hawawezi kufanya ujinga wa CCM kwa ufanisi wa kutosha. "Mtu anayefanya kazi kwa kurubuniwa au kulazimishwa hawezi kuifanya kwa ufanisi wa kutosha".
Zaidi wanaojitambua ndani ya vyombo vya dola, watakuwa radhi kutoa ushirikiano kwa Chadema kuliko CCM.
Na kwa hiyo, Chadema ikitaka kuunda intelijensia imara, itahitaji watu wa kujitolea. Ogopa mtu anayejitolea kupambana. Lakini pia anayejitolea anaweza kuwa 'ametumwa'.
Anyway! Jambo la msingi ndio hilo, kujiandaa. La sivyo, hakuna jimbo litaenda Chadema mwaka 2020. Kwanza hakutakuwa na uchaguzi zaidi ya vituko, na kama kweli Chadema wanataka kuirudisha nchi kwenye mstari, ni vema kujiandaa na vituko hivyo. Haipaswi hata kidogo kusubiri "Rais Mstaarabu" ili kupambana, hapana. Anayestahili "kupigwa" ni mtu asiye na ustaarabu. Mwaka 2020 unapaswa kuwa mwaka wa kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu tunavyofanyiana watanzania wenyewe kwa wenyewe. Na njia pekee iliyobaki ya kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu, ni kuwafanyia hao wahusika, vitendo visivyo vya kistaarabu.
Msimamizi anayetangaza matokeo ya uongo, halafu akaendelea kuishi kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Mkuu wa polisi anayetuma polisi kutishia watu, kupiga raia na kusaidia CCM, akiachwa aendelee kula maisha kwa raha mustarehe, atarudia tena.
Kila kiumbe kinachofanya ujinga, kikaachwa kiendelee kuishi kwa raha mustarehe, kitarudia ujinga wake.
Kiongozi wa tume ya uchaguzi anayetumiwa na CCM kudhulumu demokrasia akiachwa aendelee kula maisha, atarudia tena.
Hao, wanatakiwa kukomeshwa, ili iwe funzo kwao na kwa wengine wenye tabia kama zao, na iwe funzo kwa anayewatuma.
Ukitaka kuua Nyoka, kata kichwa, ukishindwa, kata hata mkia, uwezekano ni kuwa atakimbia lakini tayari umempumguzia nguvu.
Nani mwenye uwezo wa kuwakomesha, bila kujiingiza katika mgogoro wa kisheria? Ndio hapo pa kuandaa intelijensia imara. Lawama ni bora kuliko fedheha, na katika hili anayestahili lawama ni CCM, na fedheha ni kwa Chadema. Mwaka 2020, Chadema ni vema walaumiwe kuliko kufedheheka.
Hata hivyo viongozi wakubwa wa Chadema hawapaswi kujiingiza katika hayo, kwasababu watakamatwa na kufungwa mara moja.
Na sisi wengine, tu waumini wa ubinadamu, ni rahisi zaidi kuachana na siasa kuliko kufanya hayo, hatuwezi hayo.
mr mkiki.
nimeumia mno kusikia wapo waliokimbia maana chuma kinanolewa na chuma.Wakiua mmoja waende kumi choni, good job UkaraWatu 3 wakiwa na pikipiki wamemvamia mgombea wa udiwani (CDM) kata ya Bwisha, Ukara. Baada ya uvamizi wananchi wenye hasira kali waliwazingira majambazi hao na mmoja amefanikiwa kuuwawa na wananchi hao. Wawili walibahatika kukimbia.
Toka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?Duh....interesting and at the same time disappointing....hivi kweli Chadema wana ustaarabu? Mara wasingizie mtu amepigwa na kuumizwa Sana wakati ukweli ni kuwa alilewa..ofisi zinachomwa na wenyewe kuweka mazingira ya kuwa kuna vurugu...tangu lini Chadema alikuwa na siasa za ustaarabu? Namkumbuka yule kijana aliyemwagiwa tindikali kule Tabora wakati wa uchaguzi 2010...namkumbuka DC mwanamke aliyedhalilishwa kwa 'kupapaswa' kule Tabora...Chadema wanatishia kumwaga? Sawa...fanyeni hivyo tuone...mtakimbizwa mpaka Malawi au Kenya...upo wakati CUF walikuwa na siasa hizo na kilichowakuta hawatasahau ...baadhi yao walikimbilua Kenya kujifanya wakimbizi. But the world remained silent...
NdiyoToka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?
Siyo niweke jina...sema weka majina... thanksWeka jina
CCM iwaachie wananchi waamueMkuu mr mkiki kwa hoja hizi inaonekana wewe unachochea vita itokee kati ya CHADEMA na Serikali ya CCM. Hii ni hatari sana ndugu kama imefika mahali mtu unaweza kuandika uzi wa kishari shari kama huu basi hali ni mbaya. Mkuu fahamu kwamba Serikali yoyote ile duniani haiwezi kukubali kirahisi kufanyiwa hujuma unazozipendekeza wewe na halafu ikakaa kimya tu bila kuchukua hatua.
Kuwa makini sana na vitu unavyoandika maana "shari" huzaa "shari". Ushauri wako kwa CHADEMA utawaletea matatizo makubwa kuliko suluhisho.
Sio ccm, ni huyo mwendawazimu ndiyo tatizo.CCM iwaachie wananchi waamue
Potezea uhai wako mwenyewe kwenye swala la kufa, hakuna kuhamasishana.Hongera sana mtoa mada!! Uliona mbali sana kwa post yako hii ya 2018. Nakuunga mkono asilimia 100. Siasa za kistastaarabu Tanzania hazina nafasi tena na CCM wamedhamilia kututawala kwa mkono wa chuma na udhalimu wote.
Ni wakati sasa wananchi tuamue kuwa liwalo na liwe. Ni Heri tupoteze uhai ili watoto wetu na wajukuu wetu waishi kwenye nchi nzuri , salama yenye haki na maendeleo ya kweli ya watu na vitu!!!
Sawasawa. Nitaupoteza kwa ajili ya kizazi changuPotezea uhai wako mwenyewe kwenye swala la kufa, hakuna kuhamasishana.
🙏Sawasawa. Nitaupoteza kwa ajili ya kizazi changu