Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Jeuri dawa yake ni kiburi. JK alitukanwa na Mbowe akiambiwa kwamba anachokisema au anachokiahidi sicho anachokitenda. Ilikuwa ni kauli ya dharau kubwa sana kwa amiri jeshi wa nchi.

Mbatia nae akamkashifu JK licha ya ukweli kuwa ni yeye aliyemteua kuwa mbunge. JK hakutendewa haki hata kidogo.

Ngosha ukimfuata kistaarabu atakuchukulia kistaarabu, ukijifanya kichwa ngumu atakupiga kichwani kama mtu anayeua nyoka.
 

Kwa taarifa yako hizi chaguzi za marudio zimedhibitisha ccm imechokwa ile mbaya. Imelazimisha kugeuza matokeo ya hao wapiga kura wachache kuwa wao ndio wameshinda. Kumefanyika uporaji wa wazi na uporaji huo uko wazi hata hap jukwaani. Mmewatumia mliowarubuni ili kuhadaa umma kwamba wanakubalika, lakini ndio wamepoteza ile mbaya.

Ni hivi ccm muda wake wa kukaa madarakani umeisha. Jeshi linaendelea kuangalia uhalisia wa ccm kukubalika na kipimo ni idadi ya wapiga kura na namna inavyoshinda. Lakini hakuna muda jeshi litachoka na litaiacha ccm ishindane kihalali, ndii maana umeona katibu mkuu wa ccm anajisifia kushinda lakini idadi ya wapuga kura kupungua imemtisha. Idadi ya wapiga kura ni kipimo cha kukubalika na hata kushinda.
 
Chama limejaa miwatu ya hovyo hovyo ndio tulipe nchi? Tangu wapokee mamvi waliekua wanamponda kutwa kucha niliona hamnazo hawa.
 

Ww ndio unawatetemekea marais kwakuwa maisha yako yanategemea uwepo wao. Hao marais ni wanasiasa tu na huo urais ni dhamana tu. Hakuna jinsi unaweza kuwatenga na vijembe vya kisiasa? Unawataja marais kama Miungu au watakatifu fulani ambao wao hawatukani wengine hivyo na wao wakijibiwa basi wamekashifiwa. Phillipo wewe ni mwanaume acha kauli za kujipendekeza kwa wanaume wenzio.
 
Kwanini haya unayoyasema humu yoote usiyafanye wewe na mkeo na familia yako ili kama hiyo damu mmwage ya kwenu?? Hakuna mwananchi mwenye akili timamu ambaye hafaidiki na uchadema wenu utamuona kukuunga mkono katika huu upuuzi wako. Halafu mnalazimisha kutuongoza wananchi wakati hatuwataki mbona mnashangaza nyie chadema?? Kwani lazima kuongoza nchi?? Kama mmeshindwa siasa si geuzeni hicho CHAMA KUA BENDI YA MUZIKI kwani shida iko wapi mpaka kuanza kuwaza hayo ya kumwaga damu sijui kupambana na nani sijui yani mmeishiwa hoja kiasi hiki?? Dah mnaelekea kubaya
 
Mkuu tindo, rais anaweza kukupoteza wewe na mimi ndani ya dakika yoyote. JK hakutendewa haki, wanasiasa hawana shukrani.

Wamejaa malalamiko na lawama, JK alijitahidi kuwa muungwana akaishia kutukanwa. Bora huyu wa sasa awe kauzu tu. Afanye analoona linafaa, wenye hekima watampongeza, wasio na hekima ambao kwao shukrani ni matusi watamtusi na kumkejeli kadri watakavyojisikia.

Vitabu vya dini vinatukumbusha kila siku, juu ya umuhimu wa kuheshimu mamlaka halali zilizopo. Ukishindana na mamlaka halali unajitafutia kuumia.
 
Huu ni uongo wa wazi wazi. Jana, leo au hata juzi kiongozi gani wa CDM amechinjwa?
Hivi Mawazo kwako akifanywaje mchana kweupe ?! Saa 8 yuko wapi?! Wale Vijana pale Tarime walifanywa Je?! Hananasifu yule katibu cdm alifanywaje ?! Kule Olassiti Arusha watu wanne walifanywaje mchana kweupe?!

Ni lini umewahi kusikia wapinzani wamewaua wana CCM ?!
 
Una akili ndogo sana !!
 
Onyesha sasa hiyo njia na solution kwa mujibu wako!!
 
Acha ujinga sasa. Huyo jamaa niliyemjibu amedai kuwa kila kukicha viongozi wa CDM wanachinjwa. Sasa mimi nauliza jana au juzi ni kiongozi gani wa CDM amechinjwa. Wewe unaleta habari ya huyo Mawazo. Ndio huyo kiongozi aliyechinjwa jana? Nimeshakuambia sipendi longolongo.
 

Mku narudia tena, rais ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine na sio Mungu. Hivyo mashumbulizi ya kisiasa toka wanasiasa wenzake si jambo la ajabu. Tatizo mnaotoa maoni kwa kujipendekeza mnauficha ukweli huu. Yeye pia rais anatusi na kukejeli wengine hivyo naye kukutana na kejeli ni balance of nature. Kama ww ndio ingekuw amri yako ungetaka rais asiende choo, asisikie joto kali, asinyeshewe mvua kisa ni rais. Rais awa Marekani anakutana na kejeli na hapotezi mtu itakuw rais wa Tanzania?

Phillipo tuache kuwapa binadamu wenzetu utukufu usio na sababu hata kama wana madaraka. Ukiona rais kakejeliwa lazima kuna sababu, na nyie mnaowategemea kupoteza watu hamko tayari kusikia wakikutana na tabia za kibinadamu kwani mnawaona ni Miungu. Hizi hofu mnazowapa ndio mnawafanya wanalewa madaraka kwa kuwapa umungu usio na sababu.
 
Mtoa mada unahamasisha vurugu wakati huo ukijitetea kuwa hauhamasishi virugu na haupendi vurugu!

Tueleze, hadi utumie kauli gani zaidi ya maneno uliyoyatumia katika kuwasilisha mada yako hii ndiyo yaonekane ni ya uchonganishi ama uchochezi?

Unadhani kila mtu nchi hii anapenda sana vurugu ama visasi?

Kwa mfano wa maelezo yako ni kama mzazi umekuta mtoto wako na wa jirani wakigombana, tayari wakwako kakolewa konzi, halafu wewe kwa uchungu umshikilie mtoto wa jirani kisha umuamru mwanao naye aje alipize kisasi, kisha useme kuwa sasa ni sawa kwa sababu naye kamkoa!

Hapo utakuwa umewaamua au umeendeleza ugomvi na uhasama?

Unapokaa kati kama mpatanishi usije kuegemea upande!
Maana utaonekana upo upande unaotetea.

Kwa hiyo kwa muktadha wa mada hii, wewe kama ni mchadema damdam, usichochee ukiwa nyuma ya keyboard.
Jitokeze hadharani kwa utambulisho halisi, utoe dukuduku na ushuhuda wako huo kuthibitishia umma kama kweli wewe ni mfurukutwa #1 na vipaumbele unavyohamasisha watu kufanya ubayoyaona ni swadakta.

Vinginevyo wewe utakuwa ni Mange Kimambi mwenyewe uliyebadili Id na kuja kivingine.
 
Laiti track,laiti wei fowadii
 
Ni lini chadema walifanya siasa za kistaarabu? Au zile za kumuita kikwete rais legelege? Zile siasa za kutukana?

Huyo anawadanganya wenzake waumie. Huu si ule wakati wa kujaribu viongozi na vyombo vya dola, mtaumia kweli. Jipangeni upya, siasa za matusi na vitendo vya kigaidi hakuna tena Tz. Big up ACT, NCCR,CUF kwa kusoma alama za nyakati
 

Hii busara yako ulipaswa kuona kwamba huu mchezo wa kupora ushindi wa wengine utapelekea mleta uzi alichosema. Fumbia macho uovu halafu ujifanye kutetea ujinga ukidhani bila binadamu anaweza kuvumilia kuporwa haki yake. Hiki alichosema mleta mada lazima kitokee kwani kinachoendelea kiko wazi.
 
Huyo anawadanganya wenzake waumie. Huu si ule wakati wa kujaribu viongozi na vyombo vya dola, mtaumia kweli. Jipangeni upya, siasa za matusi na vitendo vya kigaidi hakuna tena Tz. Big up ACT, NCCR,CUF kwa kusoma alama za nyakati

Acheni kufundisha watu woga. Huu uporaji wa kura mnadhani watu hawauoni hata kama wako kimya kwa kudhibiti vyombo vya habari?. Unasifia nguvu ya vyombo vya dola ukimaanisha ndio wanaoratibu huu uovu? Kwa maneno marahisi hata hao cdm wakiporw ushindi ni sawa kwakuwa uporwaji huo una baraka ya vyombo vya dola?
 
Naunga mkono hoja mkono kwa 100%..
Kuandaliwe utaratibu pia wa makundi "salama" kama telegram ili tuweze kuchangia kwa hali na mali....

Ni hakika wengine yatatukuta makubwa, lkn hakuna namna yeyote ya kuiotesha mbegu bila kuifukia ioze ndipo itazaa matunda.

Hii nchi hata mwalimu liwahi kutuusia kuwa tusiwe wapumbavu na waoga tutatawaliwa na madikteta......
Alienda mbali zaidi na kutuambia tuwe tayari kulipa gharama za kupinga uongozi wa kishetani!

Hatuna jinsi jamani!
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Mhmhmh!!!!!!??? [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
JK wala hakuwahi kusema hajatendewa haki, tena alienda mbali zaidi akawa anakutana na washindani wake kisiasa!

Huyu mlevi, nduli mnasema analeta maendeleo, yepi hayo?
Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao?
 
Idara ya usalama imejaa 'corrupts' na 'ignorant'.
chadema mnapenda sana kudanganyana kuhusu hii idara.Mmejaribu sana kuiingilia mmeshendwa.
Unawataka chadema wawekeze kwenye pesa,sijui unaota au unatani
Ruzuku yote inatumika kumlipa sultani,pesa itatoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…