Mkuu Watanzania ndiyo wanaopiga kura na wao ndiyo wanaamua nani wamchague. Hata ukisema watu wamtenge mbunge anayehama chama, watamtenga vipi wakati wanakubaliana naye?? Nasema wanakubaliana naye maana hata uchaguzi ukirudiwa, yule anayehamia CCM ndiye anayeshinda, hiyo ni kilelezo tosha kuwa wananchi wa jimboni kwake wanakubaliana naye.
Tatizo ni CHADEMA kutokuwa na SERA za MAENDELEO KWA WANANCHI, na wananchi wamechoka na sera za maandamano kila siku, watu wanataka maendeleo kama anavyofanya Rais wao Magufuli.