Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Makaburu walisema hivyohivyo. Walikuwa na maguvu mara elfu kuliko nyinyi.
 
Wananchi wanataka maendeleo na sio siasa za maneno matupu ambazo zilikisha kuzoelekwe miongoni mwa viongozi wetu. Chadema wananchi waliwaamini wakawapa baadhi ya majimbo pamoja na almashauri, ilikuwa niwakati sasa wao kuonesha uwezo wao wakulete maendeleo kwenye almashauri wanazoziongoza, lakini badala yake wao kila kukicha wanatafuta visingizio kwamba wamenyimwa demokrasia. Demokrasia sio kuachiwa kuzunguka nchi nzima na kutoa maneno ya kashfa kwa utawala, demokrasia ya kweli ni kupambana na changamoto zinazo ikabili jamii yako huko jimbon. Kama Chadema hawatabalika na kuendelea kusingizia demokrasia 2020 wananchi watawaadhibu vikali maana ni wananchi wachache wanaoelewa huu wimbo mnaoimba sasa wengi wanataka maendeleo.
 
Kwaiyo
Rais wa CCM na CCM yake, na polisi wake na wateule wake na vyombo vingine vya kisheria na dola, hawaamini katika demokrasia. Wao wakisikia Chadema wanachukulia kama ni waasi au magaidi. Kwa hiyo wanapambana kwa njia zote zisizo za kidemokrasia, bila kujali dhuluma wanayofanya kwa wananchi wanaotumia muda wao mwingi kwenye kwenye mikutano ya kampeni na kwenye foleni, wakisubiri kupiga kura. Mbaya zaidi, CCM wako tayari kufanya mauaji kwa viongozi na wafuasi wa Chadema, tena wakishirikiana na vyombo vya dola na viongozi wa serikali ya CCM.
Jambo wanalopaswa kufahamu Chadema, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha.
Sikuwahi kukubaliana na wanaosema Watanzania hatuwezi kuheshimiana kwa sababu hatukuwahi kumwaga damu wenyewe kwa wenyewe, lakini sasa nakubaliana nawo. Sihamasishi kumwaga damu, lakini nakubali kwamba dhuluma inafanyika kwa sababu hatuheshimiani, na hatuheshimiani kwa sababu hatujatoana damu.
Dhuluma wanayofanyiwa Chadema itaendelea, kama wao wataendelea kusubiri siku ambayo CCM watakubali kukaa mezani, hiyo siku haiwezi kutokea. Hakuna mazungumzo kati ya mtu anayepoteza (looser) na mtu anayefaidika (beneficiary). Mazungumzo na suluhu vitakuja vyenyewe ikiwa wote mnapoteza.

Kila kukicha tunasikia kiongozi wa CDM amechinjwa, mara amepotea, mara amekatwa katwa mapanga na kutupwa mtaroni, mwingine ametiwa ndani kwa amri ya mkuu wa wilaya, wengine wanachomwa visu....hatusikii wa CCM wakifanyiwa hayo. Kwa hali hiyo, hakuna suluhu, kwa sababu anayepoteza (CDM) analialia, mnufaika (CCM) anafurahi. Lakini kama wote watalia, suluhu itakuja bila kuitwa.

Jambo wanalopaswa kufanya Chadema ni kujiandaa kifedha na kiintelijensia kabla ya 2020, la sivyo hawatapata jimbo hata moja.
Kujiandaa kifedha ni rahisi kuliko kujiandaa kiintelijensia. CCM hawana intelijensia zaidi ya kutegemea vyombo vya kiserikali. Lakini kama Chadema itawekeza kiuhakika kwenye intelijensia, ni Jeshi la wananchi pekee ndio litaweza kuidhibiti. "Jeshi" tu ndio chombo cha kogopa, na kuheshimu kiasi.
Idara ya usalama imejaa 'corrupts' na 'ignorant'. Wachache wanaojitambua hawawezi kufanya ujinga wa CCM, na hata wakirubuniwa hawawezi kufanya ujinga wa CCM kwa ufanisi wa kutosha. "Mtu anayefanya kazi kwa kurubuniwa au kulazimishwa hawezi kuifanya kwa ufanisi wa kutosha".
Zaidi wanaojitambua ndani ya vyombo vya dola, watakuwa radhi kutoa ushirikiano kwa Chadema kuliko CCM.
Na kwa hiyo, Chadema ikitaka kuunda intelijensia imara, itahitaji watu wa kujitolea. Ogopa mtu anayejitolea kupambana. Lakini pia anayejitolea anaweza kuwa 'ametumwa'.
Anyway! Jambo la msingi ndio hilo, kujiandaa. La sivyo, hakuna jimbo litaenda Chadema mwaka 2020. Kwanza hakutakuwa na uchaguzi zaidi ya vituko, na kama kweli Chadema wanataka kuirudisha nchi kwenye mstari, ni vema kujiandaa na vituko hivyo. Haipaswi hata kidogo kusubiri "Rais Mstaarabu" ili kupambana, hapana. Anayestahili "kupigwa" ni mtu asiye na ustaarabu. Mwaka 2020 unapaswa kuwa mwaka wa kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu tunavyofanyiana watanzania wenyewe kwa wenyewe. Na njia pekee iliyobaki ya kukomesha vitendo visivyo vya kistaarabu, ni kuwafanyia hao wahusika, vitendo visivyo vya kistaarabu.

Msimamizi anayetangaza matokeo ya uongo, halafu akaendelea kuishi kwa raha mustarehe, atarudia tena.

Mkuu wa polisi anayetuma polisi kutishia watu, kupiga raia na kusaidia CCM, akiachwa aendelee kula maisha kwa raha mustarehe, atarudia tena.

Kila kiumbe kinachofanya ujinga, kikaachwa kiendelee kuishi kwa raha mustarehe, kitarudia ujinga wake.

Kiongozi wa tume ya uchaguzi anayetumiwa na CCM kudhulumu demokrasia akiachwa aendelee kula maisha, atarudia tena.

Hao, wanatakiwa kukomeshwa, ili iwe funzo kwao na kwa wengine wenye tabia kama zao, na iwe funzo kwa anayewatuma.
Ukitaka kuua Nyoka, kata kichwa, ukishindwa, kata hata mkia, uwezekano ni kuwa atakimbia lakini tayari umempumguzia nguvu.

Nani mwenye uwezo wa kuwakomesha, bila kujiingiza katika mgogoro wa kisheria? Ndio hapo pa kuandaa intelijensia imara. Lawama ni bora kuliko fedheha, na katika hili anayestahili lawama ni CCM, na fedheha ni kwa Chadema. Mwaka 2020, Chadema ni vema walaumiwe kuliko kufedheheka.

Hata hivyo viongozi wakubwa wa Chadema hawapaswi kujiingiza katika hayo, kwasababu watakamatwa na kufungwa mara moja.
Na sisi wengine, tu waumini wa ubinadamu, ni rahisi zaidi kuachana na siasa kuliko kufanya hayo, hatuwezi hayo.

mr mkiki.
unataka wafanye Fujo na kuhatarisha amani ya nchi? Tutawadeal
 
Mkuu hongera kwanza kwa hoja.
hili jambo nalitaka sana na hawa polisi wanaojua kuonea sana wananchi mwisho wao uko karibu kufika natamani tungekuwa na uhuru wa kumiliki japo bastola bila uangalizi nadhani heshima ingekuwa kati ya mwananchi na mla kodi(polisi).
TATIZO BAADHI YA TANZANIA NI NJAA TU NA HAWANA UDHALENDO NA WENGINE FAMILIA ZAO ZINAKULA PESA ZA UIZI BUT ANAYEUMIA NI MWANANCHI WA KAWAIDA.
Museveni alionja joto kidogo iyo ilizihirisha nguvu ya wananchi hata wachache wakiamua.
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
Na CCM ndo waalimu wa magaidi! No afadhali kufanya kitu kitakachorudisha heshima japo maumivu yatakuwapo.
 
Niko Fonti Feji.
Ila ukweli ndio huo, Chadem ni magaidi tu nao halali yao ni kupigwa tu. Tutawapiga na kuwapiga kila pale mtakapokuwa mnaenda kinyumé na taratibu za Nchi. Chadema hawana haki na nchi yetu.
MANENO kuntu walahi
Hahahaha
 
Mkuu hongera kwanza kwa hoja.
hili jambo nalitaka sana na hawa polisi wanaojua kuonea sana wananchi mwisho wao uko karibu kufika natamani tungekuwa na uhuru wa kumiliki japo bastola bila uangalizi nadhani heshima ingekuwa kati ya mwananchi na mla kodi(polisi).
TATIZO BAADHI YA TANZANIA NI NJAA TU NA HAWANA UDHALENDO NA WENGINE FAMILIA ZAO ZINAKULA PESA ZA UIZI BUT ANAYEUMIA NI MWANANCHI WA KAWAIDA.
Museveni alionja joto kidogo iyo ilizihirisha nguvu ya wananchi hata wachache wakiamua.

umenisemea mkuu
hivi vitu vinatia hasirA sana mkuu dahh 🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Nchi zinazopigana na watu kuwa magaidi hawakuzaliwa hivyo lakini ili sababishwa na watu wa pumbavu kama ambao wanaongoza izi nchi za kiafrika na mafans wao ambao wasomi ni mafala bora ambao hawakusoma na baadhi yao wapo humu wanacomment upumbavu wakati mwananchi wahali ya chini anaangamia alafu mtu anasema usenge mbele kwa mbele.
SASA NAONA UMUHIMU WA ALSHABAB.
 
Mku narudia tena, rais ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine na sio Mungu. Hivyo mashumbulizi ya kisiasa toka wanasiasa wenzake si jambo la ajabu. Tatizo mnaotoa maoni kwa kujipendekeza mnauficha ukweli huu. Yeye pia rais anatusi na kukejeli wengine hivyo naye kukutana na kejeli ni balance of nature. Kama ww ndio ingekuw amri yako ungetaka rais asiende choo, asisikie joto kali, asinyeshewe mvua kisa ni rais. Rais awa Marekani anakutana na kejeli na hapotezi mtu itakuw rais wa Tanzania?

Phillipo tuache kuwapa binadamu wenzetu utukufu usio na sababu hata kama wana madaraka. Ukiona rais kakejeliwa lazima kuna sababu, na nyie mnaowategemea kupoteza watu hamko tayari kusikia wakikutana na tabia za kibinadamu kwani mnawaona ni Miungu. Hizi hofu mnazowapa ndio mnawafanya wanalewa madaraka kwa kuwapa umungu usio na sababu.
Mkuu rais ni binadamu kama mimi na wewe, lakini anaapa. Sio kila mtu anayeapa.

Hizi ni taratibu za kiuongozi za dunia nzima, na hazijaanza leo wala jana, kabla Yesu hajazaliwa zilikuwepo na akaziacha. Mimi na wewe tutaziacha pia. Huwezi kuzikwepa. Hakuna mtu anayemuabudu binadamu mwenzake. ni suala la maadili ya kimaisha, ambayo tutakufa na tutayaacha yakiendelea kuwaongoza watakaokuwepo nyakati hizo.

Ni suala la heshima tu, na sio zaidi ya hapo.
 
JK wala hakuwahi kusema hajatendewa haki, tena alienda mbali zaidi akawa anakutana na washindani wake kisiasa!

Huyu mlevi, nduli mnasema analeta maendeleo, yepi hayo?
Kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao?
Wewe endelea kukaa mbele ya laptop yako halafu utegemee kuyaona maendeleo au mabadiliko,

Wewe endelea kuishi mijini bila ya kutembea nchi nzima halafu tegemea kuyaona mabadiliko.

Huwezi kuishi kwa fitina za kisiasa halafu mbinu hiyo ikadumu daima.
 
Wewe endelea kukaa mbele ya laptop yako halafu utegemee kuyaona maendeleo au mabadiliko,

Wewe endelea kuishi mijini bila ya kutembea nchi nzima halafu tegemea kuyaona mabadiliko.

Huwezi kuishi kwa fitina za kisiasa halafu mbinu hiyo ikadumu daima.
Mtanguliza tumbo kwa kila kitu! Polee
 
Ukisoma comments za watz kwenye issues nyeti kama hizi, ndipo unapojua kiwango cha hali ya juu kabisa cha ujinga walichonaco.

Watz ni kama wanyama, hawawezi tofautisha jema na baya.
 
Ukisoma comments za watz kwenye issues nyeti kama hizi, ndipo unapojua kiwango cha hali ya juu kabisa cha ujinga walichonaco.

Watz ni kama wanyama, hawawezi tofautisha jema na baya.

kivip mkuu, plz fafanua
 
Ukisoma comments za watz kwenye issues nyeti kama hizi, ndipo unapojua kiwango cha hali ya juu kabisa cha ujinga walichonaco.

Watz ni kama wanyama, hawawezi tofautisha jema na baya.
Matunda ya ccm hayo..

Mkuu, kuwanyima shule Watanzania....
 
Back
Top Bottom