Jambo wasiolijua Al Ahly kuhusu Tanzania

Nyoka mwenye makengezaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
787
Reaction score
1,054
Jana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?

Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?

Kwa hesabu za haraka haraka kocha wao anahisi timu ya kwanza itakuwa ni bayern miksa man city na katikati ina bruno mutayoba fernandez. Ni vyema walipatiwa wacheze na namba mbili kuepuka fedheha.

NB: Kabla hujakomenti paka sanitaiza
 
Ndiyo unawapa taarifa sio
 
Mpira haufanyi hesabu zake hivyo
 
Football rumours: Mabingwa na kihistoria wa africa mashariki na kati, Yanga Africa Yanga umoja wa mataifa ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha sahihi ya Mshambuliaji Divock Origi kutokea FC liverpool ya uingereza ili aweze kutua dirisha kubwa la usajili.
 
Jana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?

Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?

Kwa hesabu za haraka haraka kocha wao anahisi timu ya kwanza itakuwa ni bayern miksa man city na katikati ina bruno mutayoba fernandez. Ni vyema walipatiwa wacheze na namba mbili kuepuka fedheha.

NB: Kabla hujakomenti paka sanitaiza
Hapa umeutumia ubongo wako wote kufikiria?
 
Back
Top Bottom