Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Jana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?
Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?
Kwa hesabu za haraka haraka kocha wao anahisi timu ya kwanza itakuwa ni bayern miksa man city na katikati ina bruno mutayoba fernandez. Ni vyema walipatiwa wacheze na namba mbili kuepuka fedheha.
NB: Kabla hujakomenti paka sanitaiza