Nyoka mwenye makengezaa
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 787
- 1,054
Comment ya kijinga sana.walicheza kwa woga kwa kuogopa pandemic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajua fika kua ukiona Mnyama haongozi ligi basi yuko kwenye majukumu mengine ya Kimataifa. Kifupi anaekaimu uongozi kwa sasa yuko pale kama Ceremonial Leader tu.
Ndiyo unawapa taarifa sioJana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?
Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?
Kwa hesabu za haraka haraka kocha wao anahisi timu ya kwanza itakuwa ni bayern miksa man city na katikati ina bruno mutayoba fernandez. Ni vyema walipatiwa wacheze na namba mbili kuepuka fedheha.
NB: Kabla hujakomenti paka sanitaiza
Umemuweza huyu boyaWanajua fika kua ukiona Mnyama haongozi ligi basi yuko kwenye majukumu mengine ya Kimataifa. Kifupi anaekaimu uongozi kwa sasa yuko pale kama Ceremonial Leader tu.
Nasikia aibu sana kuona Luis Missiquone kucheza ligi moja na Nchimbi, ni aibu.Wanajua fika kuwa ukiona Mnyama haongozi ligi basi yuko kwenye majukumu mengine ya Kimataifa. Kifupi anaekaimu uongozi kwa sasa yuko pale kama Ceremonial Leader tu.
Au Sarpong na Miqussoine eti wako ligi mojaNasikia aibu sana kuona Luis Missiquone kucheza ligi moja na Nchimbi, ni aibu.
Mpira haufanyi hesabu zake hivyoJana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?
Hivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?
Kwa hesabu za haraka haraka kocha wao anahisi timu ya kwanza itakuwa ni bayern miksa man city na katikati ina bruno mutayoba fernandez. Ni vyema walipatiwa wacheze na namba mbili kuepuka fedheha.
NB: Kabla hujakomenti paka sanitaiza
Aibu sana mkuu wangu, garasa na world class player.Au Sarpong na Miqussoine eti wako ligi moja
Wao wako busy kutishia kujitoa sie tunatusua Kimataifa tu, wasijali tutawabeba tena msimu ujao, wao waendelee kujiandaa vizuri tu wasituletee aibu na wachezaji wao wa mafungu.Hivi hawa kima wa Utopolo hawajakubali tu kuwa Simba no Bora zaidi kuliko wao?
electric fence na geti la mpodo, halafu ajabu sasa mwenye geti la mpodo anajiona yuko very securedAu Sarpong na Miqussoine eti wako ligi moja
Wanajua sana tena sana, kwamba timu inayoongoza ligi ina washambuliaji hatari Fiston na Sarpong πππHivi hawajajiuliza kama timu ya pili balaa lake ni hivyo, Je timu ya kwanza kwenye msimamo ni balaa kiasi gani?
Hapa umeutumia ubongo wako wote kufikiria?Jana nimekaa sana nikajiuliza; Hivi hawa FC AL Ahly wana mfahamu kwamba jana wamecheza na timu ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania?