Jambo wasiolijua Al Ahly kuhusu Tanzania

Nasikia aibu sana kuona Luis Missiquone kucheza ligi moja na Nchimbi, ni aibu.
Binafsi naona fedhea sana, yaani naomba tff walitazame hili kwa umakini sana haiwezekani simba kucheza ligi moja na yanga, yani redio inayoitangaza yanga inaishia kivule, huku misri habari ya mjini ni simba.

Sent from my itel A12 using JamiiForums mobile app
 
Nakonea huruma tukikutana na nyie zile tano znarudi safari hii
 
Wanajua sana tena sana, kwamba timu inayoongoza ligi ina washambuliaji hatari Fiston na Sarpong πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kabla hujanireply jifukize
🀣🀣🀣🀣
 
Hawa wasudani tungewaletea yanga wangepigwa 9. Wabovu sana, sema kakutana na mshindi wa 2 ligi kuu
 
Kwani wewe kwa akili yako wewe kama wewe unaonaje kiwango cha team ya pili vs team ya kwanza??
 
Wanajua sana tena sana, kwamba timu inayoongoza ligi ina washambuliaji hatari Fiston na Sarpong πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kabla hujanireply jifukize
hahaha iyo id yako mkuu imenichekesha imenikumbusha sumbawanga nimecheka mpak nimekaa chin
 
hahaha iyo id yako mkuu imenichekesha imenikumbusha sumbawanga nimecheka mpak nimekaa chin
Ha ha haa! Yule kichaa enzi za utoto wetu tumemtania sana alipokuwa akikatiza kitaa, akipita tu tunamuita pweee, basi anamaindi kinoma ha ha haa, nasi watoto tunafurahi akimaindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…