Buntungwa
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 549
- 307
Wakuu habari za saizi,
Wakazi wa Dar niwape hongera au poleni na mvua? To day Dar iko powa sana hali ya hewa inaruhusu.
Kutokana na hali ya hewa kuwa nzuri tuambie jambo zuri alilowahi kukufanyia au kukwambia umpendae.
Mimi hunishika vidole vya miguu na unyayo wako huwa nafurahi sana kunasiku huwa ananiambia niwahi kurudi home, sifanyi kosa narudi fast huwa napenda sana.
Ok nawewe tiririka ya kwako mkuu