Jambo zuri alilowahi kukufanyia mpenzi wako

Jambo zuri alilowahi kukufanyia mpenzi wako

Ex yule ambae nampenda bado. Kweli sijaachana nae kwa moyo wangu wote kuna muda nammiss kweli. Labda nikipata replacement nitamsahau
Yan kuna fursa humu
Ndan af wanaume tunaweka
maringo
 
Kunipa zawadi ya kitenge ni zawadi niloipokea kwa moyo wangu wooooote!!!! Kila siku nakiangalia tuu
Hongera san mkuu kwani kunawanaume hawajui umuhimu wa kumnunulia ampendae zawadi
Mwanaume jifunze kitu hapo(ukimnunulia zawadi umpendae huwa anaiangalia mara kwa mara)
 
mkuu mimi huwa na mkumbuka wangu na namba zake ninazo lakini sintowahi kumpigia katu ”"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiseee hapo unategea yy
Akuanze na unamtaka tena
Ila kumuanza n shda
 
Mengi tu ndio maana tulidumu kwa muda fulani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiseee hapo unategea yy
Akuanze na unamtaka tena
Ila kumuanza n shda
hahaaa mkuu "" Nina muda mrefu tangu NI break up nae nilipoamua kuachana nae ...nilimpatia tofali (block) ..ktik acc zake zote mpka kwenye namba zake za cm....then life goesss on ...sitaki kumtafuta kwa sbabu nilikuwa nampenda sana ..so kumtafuta kwangu kuna weza kunizidi msimamo nikajikuta naanza kumfikiria upya nakuhitaji kuwa naye ...kitu ambacho akili yangu inakipinga ...hata kuonana naye pia sitaki
 
Hongera san mkuu kwani kunawanaume hawajui umuhimu wa kumnunulia ampendae zawadi
Mwanaume jifunze kitu hapo(ukimnunulia zawadi umpendae huwa anaiangalia mara kwa mara)
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom