Jambo zuri alilowahi kukufanyia mpenzi wako

Jambo zuri alilowahi kukufanyia mpenzi wako

Kunipa zawadi ya kitenge ni zawadi niloipokea kwa moyo wangu wooooote!!!! Kila siku nakiangalia tuu
 
Ananitengenezea juice ya mixed fruits mpaka nimeacha pombe na kuwahi nyumbani fasta daily
 
Ex yule ambae nampenda bado. Kweli sijaachana nae kwa moyo wangu wote kuna muda nammiss kweli. Labda nikipata replacement nitamsahau
mkuu mimi huwa na mkumbuka wangu na namba zake ninazo lakini sintowahi kumpigia katu ”"
 
Daah kilimanjaro bus,siti ya nyuma kabisa pembeni ya choo, nikiwa njiani kuelekea moshi daah kabinti flan kalikuwa kanaenda shule form 6, nilikutana nacho huko huko kwenye bus, alikula koni njia nzima story ndefu sana kila nikikumbuka hiyo safari nataman clesensia wangu amalize tuu mtihani arudi

jambo zuri nililowah kumfanyia mpenz wangu ni kumpenda sana na kumpa ela, muda wangu na vitu vidogo vidogo ipad air 2, iPhone 5s, akapoteza nikamnunulia itel na juzi tena nimembadilishia nikamnunulia galaxy S7 nahongaaa
hahaaaa eti nahonga ..daaahh
 
huu uzi nimeinjoi maana umenoga haswa uongo uliojaaaa humu na hadithi hadith za kutunga.
 
uzuri wote huo hujaolewa hao ma Jamaa uliowahi kuwa nao wanakichaa

haaaaahhh its jus a chitchat kuvuta siku kwa kuifkia 26.4!lol!hajambo rafikio [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG]
 
haaaaahhh its jus a chitchat kuvuta siku kwa kuifkia 26.4!lol!hajambo rafikio [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG]
hapo sawa !!!

hahaaaa [HASHTAG]#mambembe[/HASHTAG] kapewa mwenge sasa hivi yupo kwao tu anatumbua macho jf anaitamani ila ndio hvyo mods wamemfnyia roho mbaya ""
 
Back
Top Bottom