Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello, ninaishi Norway na nimejifunza kiswahili kwa takribani miezi sita. Niko hapa kuboresha kiswahili changu, na kushiriki katika majadiliano ya kuvutia. Nimefurahi kuwa hapa na ninyi! (nasikitika kuhusu makosa yangu ya sarufi)
Nini zaidi ungependa kusikia, Mr. Funny?