Pretty-baby
Member
- Jan 25, 2012
- 56
- 7
mimi mchumba nine sema ndo anaanza kazi mwaka huu,na maisha ndo anaanza,sujui nifanyeje mie,ni mwalimu wa garde A
OH Namaanisha yeye ni Gade A
Wape,mkubwa.Nimepitia comments zao nimeona hewa tu,ndo wale wale wa kumegwa/kumegewa.Eti mpaka uwe vizuri,lakini unahonga na unafanya matanuzi n.k. Starehe sasa shida baadae.nampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?
acheni uzungu na uzinzi miaka 40 bila ndoa na wewe ni shababi una maana gani?alafu ukioa na 45 mke akiwa agemate atakuwa menopause amefika.na kama ukipata watoto watakuwa wajukuu. pia wanaume wakifikia miaka 40 sex interest inapungua ndo mwanzo wa kulalamika mkeo anamegwa(kama ukipata kijana)raha ya ndoa muwe vijana mpate watoto mkiwa vijana.
Kuoa/kuolewa? Ambigous.Miaka 20....ukichelewa sana 25.
Hahaaha...27 first year?? Ongeza minne, tena miwili, malizia miwili tena ya kujipanga.
27+4+2+2=35. Hapo mambo yakienda sawa bila mizengwe ila kwa utata wa ajira na maisha ya ujasiliamali huku mtaani kwasasa, ongeza tena kama mitano hivi. Uhakika ni 40. Pole!
nampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?
acheni uzungu na uzinzi miaka 40 bila ndoa na wewe ni shababi una maana gani?alafu ukioa na 45 mke akiwa agemate atakuwa menopause amefika.na kama ukipata watoto watakuwa wajukuu. pia wanaume wakifikia miaka 40 sex interest inapungua ndo mwanzo wa kulalamika mkeo anamegwa(kama ukipata kijana)raha ya ndoa muwe vijana mpate watoto mkiwa vijana.
ahahahaaa...naomba niwe tofauti sana na wengi mulio-ongelea kigezo cha mtu kuoa kwa kuangalia umri...
Kikubwa nacho-amini ni kuwa "UNAOA PINDI UNAPOONA UNA-UHITAJI WA MWENZIWAKO KUSAIDIANA KATIKA MAISHA"..
HIKI NDIO KIGEZO KIKUU CHA MUNGU KUMUUMBA MWANADAMU MUME NA KUONA ANAHITAJI MSAIDIZI NDIPO AKAMUUMBIA MWANAMKE EVA....
UTAPOONA UNAHITAJI MSAIDIZI KATIKA MAISHA YAKO THEN OA...HATA KAMA UNGEKUWA NA MIAKA 12 AU 120...NAWASILISHA