Jameni ni umri gani unaofaa kuoa kwa mwanaume

Jameni ni umri gani unaofaa kuoa kwa mwanaume

Mwanaume anatakiwa aoe akishamaliza starehe zote, especially totoz . Yani afike point aseme "I have been through it all" hapo akioa ana settle fresh vinginevyo atakwua kero kwa wife wake.
 
mm kama ungekuwa na uwezo wa kumtunza mkeo unaweza kuoa kuanzia umri wa miaka 18, hata kwa umri wako wa miaka 27 ni mzuri kwani kiakili umekomaa, hivyo unaweza kuoa hata sasa kama una uwezo wa kumtunza mkeo. kwa mm msingi mmojawapo ni kuwa uwe na uwezo wa kuihudumia familia yako pamoja na kuwasomesha watoto wako kabla ya kustaafu, kwani ni kero kubwa kusomesha watoto wakati umestafu kwasababu uwezo wa kufanya kazi unakuwa umepungua na pia kipato kinakua kimepungua

kwa mfano mtoto wa kitanzania mpaka amalize degree atakuwa na miaka ifuatayo= 7+7+4+2+5=25+-, hivyo basi inamaanisha umri wako 27 +25= 52+-, ukioa na kuzaa mtoto wako leo na mwaka kesho utakuwa na uwezekano wa kusomesha na kumaliza kabla ya kustaafu

nawasilisha
 
mimi mchumba nine sema ndo anaanza kazi mwaka huu,na maisha ndo anaanza,sujui nifanyeje mie,ni mwalimu wa garde A
 
OH Namaanisha yeye ni Gade A
 
mimi mchumba nine sema ndo anaanza kazi mwaka huu,na maisha ndo anaanza,sujui nifanyeje mie,ni mwalimu wa garde A

First year primary or? Blablablah mara 1st year mara mwalimu na hiyo garde A ndio jina la shule unayofundisha au?
 
Kama familia bora ukisha anza kumwaga ruksa kibongo bongo 45
 
I married when i was 25.5 years.

binafsi from miaka 25
 
nampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?

acheni uzungu na uzinzi miaka 40 bila ndoa na wewe ni shababi una maana gani?alafu ukioa na 45 mke akiwa agemate atakuwa menopause amefika.na kama ukipata watoto watakuwa wajukuu. pia wanaume wakifikia miaka 40 sex interest inapungua ndo mwanzo wa kulalamika mkeo anamegwa(kama ukipata kijana)raha ya ndoa muwe vijana mpate watoto mkiwa vijana.
Wape,mkubwa.Nimepitia comments zao nimeona hewa tu,ndo wale wale wa kumegwa/kumegewa.Eti mpaka uwe vizuri,lakini unahonga na unafanya matanuzi n.k. Starehe sasa shida baadae.
 
Hahaaha...27 first year?? Ongeza minne, tena miwili, malizia miwili tena ya kujipanga.
27+4+2+2=35. Hapo mambo yakienda sawa bila mizengwe ila kwa utata wa ajira na maisha ya ujasiliamali huku mtaani kwasasa, ongeza tena kama mitano hivi. Uhakika ni 40. Pole!

Yaani ungemwambia Life begins at 40
 
ahahahaaa...naomba niwe tofauti sana na wengi mulio-ongelea kigezo cha mtu kuoa kwa kuangalia umri...
Kikubwa nacho-amini ni kuwa "UNAOA PINDI UNAPOONA UNA-UHITAJI WA MWENZIWAKO KUSAIDIANA KATIKA MAISHA"..

HIKI NDIO KIGEZO KIKUU CHA MUNGU KUMUUMBA MWANADAMU MUME NA KUONA ANAHITAJI MSAIDIZI NDIPO AKAMUUMBIA MWANAMKE EVA....

UTAPOONA UNAHITAJI MSAIDIZI KATIKA MAISHA YAKO THEN OA...HATA KAMA UNGEKUWA NA MIAKA 12 AU 120...NAWASILISHA
 
nampa pole ya nini? mbona mimi nipo kwenye umri huo na sina financial arrasment lakini bado sijaoa? wewe ndoa kwako unaidefine vipi?

acheni uzungu na uzinzi miaka 40 bila ndoa na wewe ni shababi una maana gani?alafu ukioa na 45 mke akiwa agemate atakuwa menopause amefika.na kama ukipata watoto watakuwa wajukuu. pia wanaume wakifikia miaka 40 sex interest inapungua ndo mwanzo wa kulalamika mkeo anamegwa(kama ukipata kijana)raha ya ndoa muwe vijana mpate watoto mkiwa vijana.

Asante Mkuu kwa ufafanuzi maana jamaa aliisha nunua kesi na kuanza kunisulubisha!
 
Anytime, mie nimeoa nikiwa A- level fm5 na nikiwa 20yrs old 2004, now i'm 28 na nina 2 kids nipo Masters OUT, na kikubwa uwe na uwezo na umpate mwanamke mkapendana, owning 2 companies & employed too, so maisha hayana formula, work hard intelligently to have better life, kila la kheri
 
utadisco wewe yaani uko first yr na wewe sio inservice then thinking abt marring naona bado kijana, coz kwa mazingira yako ya chuo utakua unaconcentrate kuwachora mashiiii na kujiuliza uliza tu nimuoe km huyu au km huyu so pls concentrate na shule
 
mimi nipo first year university na mchumba ndo kapangiwa kazi juzi,sa kuona inafaa na mimi nasoma jamen na umri umekwenda,boom litalea kweli
 
ahahahaaa...naomba niwe tofauti sana na wengi mulio-ongelea kigezo cha mtu kuoa kwa kuangalia umri...
Kikubwa nacho-amini ni kuwa "UNAOA PINDI UNAPOONA UNA-UHITAJI WA MWENZIWAKO KUSAIDIANA KATIKA MAISHA"..

HIKI NDIO KIGEZO KIKUU CHA MUNGU KUMUUMBA MWANADAMU MUME NA KUONA ANAHITAJI MSAIDIZI NDIPO AKAMUUMBIA MWANAMKE EVA....

UTAPOONA UNAHITAJI MSAIDIZI KATIKA MAISHA YAKO THEN OA...HATA KAMA UNGEKUWA NA MIAKA 12 AU 120...NAWASILISHA

hoja yako nzito mkuu nimeikubali
 
Back
Top Bottom