Jameni ni umri gani unaofaa kuoa kwa mwanaume

Jameni ni umri gani unaofaa kuoa kwa mwanaume

Hakuna cha formula kwenye kuoa...niliwaza kuoa nikiwa na 30s...matokeo yake now nina 26 nina mke na 1 kid (lovely babygirl) na kaz nzuri tu....nilihofia labda kuoa ni mzigo but i was wrong...mwana na mamaye ni kama wameniletea baraka ( alibeba mimba tukiwa chuo nikiwa mbele yake mwaka mmoja) soon baada ya kumaliza ka degree kangu (2010) nikapata kazi fasta tena ya ukweli till now naye kamaliza chuo na tuko naye maisha yanasonga kwa nguvu za Mola..
 
Kwa kawaida mi naonaga 25 to 30 ndo mahala pake.
Unajua nini uzoefu unaonyesha kwamba upande wa kutafuta maisha hakuna hata siku moja mwanadamu atasema sasa hapa ndo inatosha! cha msingi unaangalia vitu vya msingi mfano vyombo vya ndani nk.Pia angalia upande wa kipato chako katika matumizi yako je kuna ziada inabaki?
Kama majibu yake ni ndio basi go ahead.Michongo ya kwamba unaweza oa hata ukiwa na 50 mi napingana nayo kwa sababu kila jambo na wakati wake kuna wakati kuoa,wakati wa kuzaa watoto na kuwalea.
So ukichanganya izi events na ukaoa kwenye 50-60 hao watoto atawasomesha nani ????
AKILI KWENYE KICHWA !!!
 
Hakuna cha formula kwenye kuoa...niliwaza kuoa nikiwa na 30s...matokeo yake now nina 26 nina mke na 1 kid (lovely babygirl) na kaz nzuri tu....nilihofia labda kuoa ni mzigo but i was wrong...mwana na mamaye ni kama wameniletea baraka ( alibeba mimba tukiwa chuo nikiwa mbele yake mwaka mmoja) soon baada ya kumaliza ka degree kangu (2010) nikapata kazi fasta tena ya ukweli till now naye kamaliza chuo na tuko naye maisha yanasonga kwa nguvu za Mola..

mungu awabariki sana sana maisha mema na yenye baraka tele@Ba Martha
 
hakuna muda muafaka,inategemea wewe mwenyewe utapenda kuoa lini,
mbona rais wa botswana yupo above 56 lakini ndo anatafuta mchumba
 
nafikiri ukiwa na ziada ya income yako yatosha kabisa kukuweka ktk mazingira mazuri ya kufikiri ss suala la ndoa,ingawa kusubiri sana napo hailete tija kwakuwa kila jambo na wakati wake as mmoja alivosema,aidha umakini wa kupata mke ni jambo jema sana wenye imani yawapsa kuomba sana au kumkumbusha Mungu as alisema 'nyumba na mali mtu hupewa na babaye lakini mke mwema Mtu hupewa na Mungu'jumamosi njema,
 
WanaJf ninapata utata kua ni umri gani ambao kwa mwanaume anapaswa kuoa mana me nina27 na naona nimechelewa maisha ukitegemea kwanza ndo nipo first year,naona wenzangu nimechelewa maisha,cu unajua maisha ya bongo,naomba mchango wako
Kwani upo tayari kwa kuoa jiulize kwanza maswali!
 
Nipp tayari ila nauliza je nioe nikiwa first year
 
Kama unaomba mke/mume kutoka kwa mungu basi mwombe akuonyeshe umri kutoka kwake
 
i am in my 50's na sina mke and i am comfortable,so?
 
nafikiri ukiwa na ziada ya income yako yatosha kabisa.
Mungu as alisema 'nyumba na mali mtu hupewa na babaye lakini mke mwema Mtu hupewa na Mungu'jumamosi njema,

msaada: mwenye mchumba atajuaje huyo kapangiwa na muumba?

ambaye hana/anatafuta mchumba ni hali gani itakayofanya utafutaji kuhalalisha kupewa mchumba na Mungu?
 
Back
Top Bottom