James Hamblin, daktari ambaye haoni sababu ya watu kuoga mara kwa mara

James Hamblin, daktari ambaye haoni sababu ya watu kuoga mara kwa mara

Hii habari imekuja wakati muafaka
Kwakweli toka nazaliwa mwaka huu ndio nimeoga Mara chache kuliko miaka yote ni zaidi ya nusu mwaka sijaoga ( chini ya Siku180 )
Nnachomshukuru mungu mwili wangu hautoi harufu, kunakipindi nlikuwa naoga x2 kwa wiki🚮
🚶🚶🚶
 
Nimempenda, sema amechelewesha sana, nimetumia muda mwingi kwenye kuoga tayari wakati hili jambo kumbe linaepukika kabisa.
 
Wazungu washenzi sana, kama wanachambia makaratasi, kutooga sishangai...
 
Kuna watu wanaoga kila siku tena asubuhi na jioni na bado miili yao inatoa harufu.
Wanatoa harufu gani, nzuri au mbaya?
Kama ni harufu mbaya naamini huo ni ugonjwa!
Hebu chukulia anaoga na ananuka, asipooga inakuwaje hiyo?
 
Back
Top Bottom