MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu