Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajiandalie majeneza kabisaMajenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu
Hakuna muhutu
Diane Rwigara, masikini alizushiwa kesi za uhujumu uchumi, familia yake wakawekwa hatihati, yeye akawekwa ndani na mali za familia kutaifishwa. Kisha baada ya kukaa ndani (gerezani) muda mrefu yeye na mama yake, walilazimishwa kukiri makosa na baadaye kuachiwa huru. Hadi sasa wako under observations.Kwani yule dada aliyegombea last time aliishia wapi?
Ni diana rwigire na mama yakeVictoire Ngabire, masikini alizushiwa kesi za uhujumu uchumi, familia yake wakawekwa hatihati, yeye akawekwa ndani na mali za familia kutaifishwa. Kisha baada ya kukaa ndani (gerezani) muda mrefu yeye na mama yake, walilazimishwa kukiri makosa na baadaye kuachiwa huru. Hadi sasa wako under observations.
Sijui huyuDr.Donald Kaberuka
Sorry nilichanganya Majina. Kweli Ngabire ni waziri, ahsante kwa observation hiyo
Aaaahaaabila shaka walichelewa kurudisha form hawa makamanda