MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu
Wapo Rwanda au nje?Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu
Muda si mrefu watahusiswa na Mauaji ya Kimbari!Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu
Muda si mrefu watahusiswa na Mauaji ya Kimbari!
mtu chake zitto junior Moronight walker tieni neno hapa tafadhali...Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.
Wanadai mpaka hapo Kagame alipoifikisha nchi inatosha , na Sasa ni wakati wa wao kuipeleka mbele kidogo alipoishia mwamba.
Bila shaka Kagame atazipokea taarifa hizi kwa mikono miwili. Nitazidi kuwataarifu kila kinachojiri. Naripoti kutoka pembezoni mwa ziwa Kivu
Na kweliMuda si mrefu watahusiswa na Mauaji ya Kimbari!
Hakuna muhutu..je, kati yao kuna mhutu?
..mimi namfagilia zaidi Dr.Donald Kaberuka.
SIDHANI kama ni kweli.mtu chake zitto junior Moronight walker tieni neno hapa tafadhali...
Japo habari kama hii bila chanzo ni udaku tu.
Badilisha hapo ni Kabalebe na sio KabarebeMajenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024.