James Kabarebe na Jack Nzinza waonesha nia ya kugombea urais 2024

Wajiandalie majeneza kabisa
 
Angalia mkuu, usije wasagia sumu majenerali hao. Maana Kagame si mchezo.
 
Kwani yule dada aliyegombea last time aliishia wapi?
Diane Rwigara, masikini alizushiwa kesi za uhujumu uchumi, familia yake wakawekwa hatihati, yeye akawekwa ndani na mali za familia kutaifishwa. Kisha baada ya kukaa ndani (gerezani) muda mrefu yeye na mama yake, walilazimishwa kukiri makosa na baadaye kuachiwa huru. Hadi sasa wako under observations.
 
Ni diana rwigire na mama yake
 
Mkuu

Kama ni KWELI!

Basi,HIYO ni calculated movement ya kumuingiza Ivan kagame!

Ngoja Tuone,

Jamaa anacheza na upepo uvumao keshaona,Kuwa hana Muda Tena wa kuendelea Kuwa RAIS maana wanaomfadhili wamesha signal tamati ya madikteta DUNIANI!

Nadhani mwenzake, mseven amesha muandaa kijana Wake anae onekana mtukutu kumrithi YEYE!

Muhoz kainerugaba;!
 
bila shaka walichelewa kurudisha form hawa makamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…