James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
 
Kama amekutuma,
Muda wake umeshaisha ,mwambie aende akachunge mbuzi na wajukuu zake.
 
Huyu akapumzike! Kwanza hana jipya ni njaa tu inamsumbua! Kwani alirudi lini CCM? Ushetu hakuna wana CCM wenye sifa za kugombea hapo?!
 
Huyu Mzee alishawahi kuhamia Chadema,harafu akatoka,
Miaka yote yakuwa Mbunge,haridhiki tu,awaachie vijana nao wapate,apewe ubunge tu kama ana kampuni na ametoa ajira kama wanavyofanya Mbunge Shabiby nk.
Sio kwenda bungeni
 
Hawezi fanya shuguli nyingine kwani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…