James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

Huyu ndo yuleee huwa anawashauri vijana wajiajiri ...tujifunze kuwa hizi nafasi za urithi na viongozi wake, wanaosubiri wenzao wafe ili wapate nafas cyo kbs, yaani ni trash[emoji117]takataka kbs[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
NB:/KAMA UMEZOEA KUBISHA UTABISHA TU/
 
James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
View attachment 1917779
Hivi hawa hawanaga kazi ya kufanya zaidi ya ubunge tu mtu miaka yote anataka awe mbunge tu anashindwa anarudi kichwa chote cheupe bado hajatosheka tu
 
Huyu ndo yuleee huwa anawashauri vijana wajiajiri ...tujifunze kuwa hizi nafasi za urithi na viongozi wake, wanaosubiri wenzao wafe ili wapate nafas cyo kbs, yaani ni trash[emoji117]takataka kbs[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
NB:/KAMA UMEZOEA KUBISHA UTABISHA TU/
CCM imeweka mfumo mbovu sn
 
Back
Top Bottom