Uchaguzi 2020 James Mbatia aitikisa Vunjo, maelfu ya wanachama wamiminika kumlaki

Huyu jamaa asipigiwe kura za kumwezesha kushinda,ni Bonge la msaliti,juzi kati apo kaitwa ikulu,akaenda Mbeya kwa sapot ya ikulu,huyu haaminiki kamwe
Ikulu ni ya watanzania wote, kwahiyo chadema mkiingia ikulu wapinzani hawataruhusiwa kuja ikulu? Na hamtashirikiana nao kwa namna yoyote kisa wataitwa wasaliti?
 
Shemeji ZANGU msiniangushe kupigia kura huyu tapeli na saliti.
 
Hivi alikuwa wapi? Kwenye misafara ya Jiwe?
 
Hafai kabisa huyu na uzuri wake tayari wana vunjo washamuelewa kuwa ni mchumia tumbo.

Alafu bila aibu hata kabla ya kampeini kuanza anajitapa kuwa NCCR ndiyo sasa kinaenda kuwa KUB.

Sent using Jamii Forums mobile app
Braza,huyu mchumia tumbo awe KUB labda kwa mbereko ya boss wake,tabu ni pale,jiwe anamhitaji sana Kimei
 
Mbona wachaga kwenye picha hawana nuru
 
Ukweli ni kwamba alikodi hiace, coaster zote vunjo zilete watu kwenye mkutano, magari yakawa mengi kuliko watu. Mbatia hakubaliki vunjo.
 
maelfu? hawa? like seriously?
 
Wale
Mbona watu wachache sana tofauti na mkutano wa Dr Kimei?
Wale Dr Kimei walepelekwa na mabasi kutoka rombo na mwanga kwenda vunjo na kurudishwa walikotoka baada ya mkutano.pia mbatia kwenda kuwachukua wale wale wa Kimei.
 
Huyu jamaa asipigiwe kura za kumwezesha kushinda,ni Bonge la msaliti,juzi kati apo kaitwa ikulu,akaenda Mbeya kwa sapot ya ikulu,huyu haaminiki kamwe
Huyo anatumika huyo
 
Mbatia huyu huyu wa "Mama yetu mzazi Tanzania"?

Get the fvck outta here!
 
Huyu dada mwenye suluari RED sijui ana maanisha nini sasa kwa mgombea wake.
 
Lazima pipa za mbege haziko mbali na hapo ... na k vanti yakupunguzua gesi. Ndo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…