Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko
Bunge la CCM
Jaji wa CCM
Mbatia angetulia tu. Ubapoteza hela na gharama.Sometimes ni Vema kupinga hata kama unajua kwamba hautashinda.... Just to make the Record Straight na kuonyesha msimamo wako...
Kwa hili namuelewa...,
Hii nailewa saana...Sometimes ni Vema kupinga hata kama unajua kwamba hautashinda.... Just to make the Record Straight na kuonyesha msimamo wako...
Kwa hili namuelewa...,
Ya BurundiTwasubiri mrejesho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Gharama ya upuuzi unaofanyika sasa kwa Taifa ni mkubwa sana..., Kwahio if anything kwenye Historical Books Watanzania wa Kesho kutwa watakapokuwa wanasoma / kuangalia kilichotokea atleast yeye ataonekana hakuwa upande wa hizi Tamthilia...Mbatia angetulia tu. Ubapoteza hela na gharama.
Na wanategemea kushinda hiyo kesi??? hata kama utaratibu haukufuatwa wasitegemee... nafikiri mahakama itatupilia mbali kesi hiyoJe Uchaguzi wa spika utafanyika?View attachment 2090524
Hivi inakuaje mwanaume unakwangua ndevu zote hadi nyusi? au ndo ukoshangaa ya Kaoge utayaona ya Ali Remtula.Je Uchaguzi wa spika utafanyika?View attachment 2090524
Tutajuaje Kama kakwangua zote wakati hajatuwekea picha ya sehemu zake tuone.Hivi inakuaje mwanaume unakwangua ndevu zote hadi nyusi? au ndo ukoshangaa ya Kaoge utayaona ya Ali Remtula.
Wewe unaemchunguza mwanaume mwenzio unatafuta nini?kwa kunyoa ndevu zote,Uchoko una anziaga hapo.
wewe ni LAYMAN, tuachie sisi tupo jikoniNa wanategemea kushinda hiyo kesi??? hata kama utaratibu haukufuatwa wasitegemee... nafikiri mahakama itatupilia mbali kesi hiyo