James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Tuambie siku ccm walisifia ya wapinzani.
CCM wanawasifia kimya kimya kwenye vikao vyao vya ndaani ndani huko na kutuma kina pole pole na Makonda kwenda kuwanunua.
Angalia wote waliorubuniwa na kujiunga na CCM Ni watu waziri mpaka wanapewa madaraka makubwa serikalini. Mitano michache.
1. Yule mpenda bia baridi
2. Sidiriande
3. Tumbili
4. Jamaa yake tumbili
5. Jotokali
6. Mkuu wa wilaya moja pembezoni
7. Mzee mdee and co.
8. Kikumbo
 
Mbatia ni mjane mwenzio.
 
Mama ameanza mbio kulekea 2025. Huku nyuma hakumhusu
 

Kama kusifia ni kimya kimya, na kuponda ni waziwazi kwa ccm, kwanini mmnataka wapinzani wasifie hadharani? Umeona wapinzani wakipinga ujenzi wa shule, barabara, hospitali nk ili tujue wanapinga kila kitu?
 
Kwahiyo kama mama kabadilika kutoka Sasa kama mama amebadilika kutoka kwenye misingi aliyoanza nayo, Mbatia asibadilishe opinion yake? Idiot!
 
Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
Raisi anaweza kuingilia Kati wananchi wakiandamana kupinga mfumuko wa bei wapi umesikia wananchi wamendamana kila mtu anafanya mishe zake kama kawa atajuaje kama kunatatizo
 
Raisi anaweza kuingilia Kati wananchi wakiandama kupinga mfumuko wa bei wapi umesikia wananchi wamendamana kila mtu anafanya mishe zake kama kawa atajuaje kama kunatatizo
Ikifikia hatua ya wananchi kuandamana jua ndio mwisho wa Serikali iliyopo madarakani.
 
Raisi anaweza kuingilia Kati wananchi wakiandama kupinga mfumuko wa bei wapi umesikia wananchi wamendamana kila mtu anafanya mishe zake kama kawa atajuaje kama kunatatizo
Duh
 
Ikifikia hatua ya wananchi kuandamana jua ndio mwisho wa Serikali iliyopo madarakani.
Wananchi gani unawazungumzia wako busy na mambo ya kijinga mtandaoni mnakuja kumtuisha zigo mama ningumu kujua Kama kuna mfumuko wa bei unafikiri atajuaje bila kwenda sokoni kila kitu anakuta kiko tayari tatizo ni sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…