James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Kutokana na alivyoficha makucha wakati wa mwendazake wengi walikuwa na matarajio, kumbe loo, usimlaimu kwa hilo, ni sawa ns mtu anaoa kwa gharama kumbe ni garasa.
 
Misukule ya dikteta magufuli mna chuki na Samia!! Kenge nyinyi
 
Unafiki utaisha siku CCM ikitolewa madarakani.
 
Upandaji wa bei Bunge 100% ccm wateteeni wananchi
 
Mbatia
Lipumba
Cheyo
Ni CCM (b)
Maneno hayo hayo aliyoongea Mbatia angeyasema kiongozi wa Chadema gesi la poris lingetuma Lory mbili zilizojaa Askari wenye silaha za kivita kumkamata.
Wanatuzuga hao maccm wanadhani hatuna akili kama wao.
 
Tatizo huyu Mbatia huwa haeleweki misimamo yake, sijui huo u-KUB alioahidiwa na mwendazake sijui upo wapi, bora akae kimya awaache wengine wamshambulie maza tutaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…