James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Kwani ZZK naye anasema je?
 
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
 
Tatizo huyu Mbatia huwa haeleweki misimamo yake, sijui huo u-KUB alioahidiwa na mwendazake sijui upo wapi, bora akae kimya awaache wengine wamshambulie maza tutaelewa.
Alikwambia ameahidiwa u-KUB?
 
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
Ulishawahi kusafiri kuja makao makuu ya mkoa wa Morogoro ukiwa unatokea Malinyi? Ulijisikiaje
 
Alikwambia ameahidiwa u-KUB?
aliahidiwa na mwendazake, kiongozi wewe kumbe hujui mengi yanayoendelea nchi hii eee, unafikiri wale wabunge COVID 19 wapo bungeni kimakosa?
 
Chanjo iwe ni hiari au ni lazima?

#COVID19 - Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

Tutafika tu.
 
Upunguze mikoa na wilaya????unataka hawa chawa wafe co????hlo haliwez tokea hvhv mpk ifanyike struggling
 
Ameongea vizuri sana....!!
 
Ulishawahi kusafiri kuja makao makuu ya mkoa wa Morogoro ukiwa unatokea Malinyi? Ulijisikiaje
Shida sio kusafiri serikali ipeleke huduma za muhimu ikiwezekana katani Raia wapate huduma zote za msingi sio kusafiri Hadi wilayani na kugawa vi portion vya nchi na gharama zinakuwa kubwa kwenye administration kuliko maendeleo
 
Kuna shida lazima uende hospital ya mkoa au ukachukue kibali kwa mkuu wa mkoa
 
Huyu mama ukweli sio kabisa vifaa vimepanda sana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…